Mheshimiwa endelea kukaza mpaka watanzania waelewe

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,332
10,540
Mheshimiwa mtukufu naomba uendelee kukaza zaidi ya sana,ili watanzania wengi waelewe kuwa ccm ni nini?.Hata aje malaika kutoka mbiguni kuiongoza ccm haitobadilika itabaki kuwa ile ile.

Mheshimiwa naomba serikali yako,isipeleke mahali popote pale chakula hata kama kweli njaa itatokea ili wananchi wajue kama hatupo enzi za mzee bure.Labda akili itawaingia wadanganyika maana niwazito kuelewa.

Tena mtukufu naomba na hawa viongozi wa dini wanaolialia kuwa kuna ukame,sijui njaa,sijui watu wafunge na kuomba dua wachukuliwe hatua kali maana kauli ya raisi ndio kauli ya mwisho.Umeshasema kuwa hakuna njaa wanajitokeza wajinga wachache sijui niwaite wapumbavu nao wanatangaza kuwa nchi ina balaa la njaa hawa inatakiwa washughulikiwe maana serikali yako haina mchezo.Hawa naona nao wanakujaribu kama vile wale waliotaka kusimamisha ukuta walivyotaka kukujaribu.Ukiwaacha hawa viongozi wa dini wataendelee kuwa wachochezi kamata sweka lupango wakapumzike huko kama Lema au Lijuakali.

Mheshimiwa naomba ukaze vizuri ili mianya yote ya rushwa ipotee,haiwezekani wanasiasa uchwara na viongozi uchwara wa dini watangaze kuna njaa halafu wakiendelee kubaki uraiani waonyeshe kazi maana kwako ni kazi tu.

Wadanganyika mwafwaaaaa maana hamuelewi,sasa acheni mfe ili mkiambiwa ccm ni nini kila mdanganyika awe na jawabu.

Tena nawaombea kabisa wadanganyika mfe na laana iwatafune vizuri ili 2020 mkachague viongozi mkiwa na akili timamu zimewarejea.

Wadanganyika fungeni mikanda tena mkaze na kamba.

Wasalamu .
 
Unautaka ukuu wa wilaya kwa nguvu hahaha
Ama kwel hali imekua ngumu
Kila la heri pengine mkulu atasoma siredi yako na atakupa ukuu wa wilaya
 
Inaonekana ukame umeanza kukudhuru japo hutaki kuwa muwazi.
 
Back
Top Bottom