Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kama ulikuwa humfahamu mbongo aloikataa million 425 kwa mwezi ili aje Tanzania kufanya kazi ndo huyo hapo.
Kweli bongo bahati mbaya.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huku Hamna mvua[emoji53]![]()
Kama ulikuwa humfahamu mbongo aloikataa million 425 kwa mwezi ili aje Tanzania kufanya kazi ndo huyo hapo.
Kweli bongo bahati mbaya.
Umeanza Na Mambo Ya TeamHahaa nimecheka eti Kiba anauza mifagio
Mtanzania anayefanya kazi Taasisi ya Bill Gatesijui kwa uelewa wangu mdogo lkn naona sio kweli.....inapaswa ajue watz wa siku hizi sio kama zamani ...kampuni gani iliyokuwa tayari kumlipa m 425 graduate fresh from school....angekuwa mkweli akataja kampuni na cheo alichoahidiwa.....najiuliza tu
chaa huyuu![]()
Kama ulikuwa humfahamu mbongo aloikataa million 425 kwa mwezi ili aje Tanzania kufanya kazi ndo huyo hapo.
Kweli bongo bahati mbaya.
kitengo gani...kwani kila anaefanya kazi kwa bill gate when anapoquity a job lazima alipwe vzuri.....au lazima awe genius........brother lets reasoning mil425 sio hela ndogo.....xo amekataa mil425 ili aje kumtumikia mungu kwenye kanisa laoMtanzania anayefanya kazi Taasisi ya Bill Gate
[emoji115] fungua uzi alikuwa muajiriwa kwenye taasisi ya Billgate kwahiyo siyo jambo la kushangaza
kwa mwaka.ni kwa mwaka au mwezi iyo mil425?
Fix mkuusijui kwa uelewa wangu mdogo lkn naona sio kweli.....inapaswa ajue watz wa siku hizi sio kama zamani ...kampuni gani iliyokuwa tayari kumlipa m 425 graduate fresh from school....angekuwa mkweli akataja kampuni na cheo alichoahidiwa.....najiuliza tu
Sijakuelewa umeandika nini! mil 425 sawa na usd 15000!!!?Mshahara wa 425M kwa mwezi ni sawa na 35M kwa mwezi ambayo ni Kama $15,000 ya marekani. Hii ni hela nyingi bongo lakini marekani sio hela nyingi kiivyo. Kodi ya nyumba kwa mtu wa hadhi yake Ina vary kati ya $3000 mpaka $5000 kwa mwezi, Kijana kaona mbali.
Ila mwisho wa siku kweli tupambane na Hali zetu maana dogo primary kasoma Heaven of Peace, shule ya tatu kwa shule zenye ada kubwa Tanzania.
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app