Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,885
kila jumapili baba yake anapata hyo hela kwanini ajitese?Huyo si binadamu wa kawaida. Something is not right..nahisi kudanganywa!
kila jumapili baba yake anapata hyo hela kwanini ajitese?Huyo si binadamu wa kawaida. Something is not right..nahisi kudanganywa!
unamjua huyo ni mtoto wa nani au unabisha tu.hyo hela hapa bongo anaipata kwa siku tena bila jasho lolotehttps://www.youtube.com/watch?v=Lh4crj8gMjUNitakua wa mwisho kuamin...my take kama kaweza kutaja mshahara ataje na kampuni aliyoikataa simple tu...kwa hiyo na kwa bill gate kaacha .......safi aje kuitumikia nchi yawezekana ana madin muhimu kichwan
m sijui ni mtoto wa nan......sasa alisoma ili iweje kama anaweza ingiza hiyo pesa....unamjua huyo ni mtoto wa nani au unabisha tu.hyo hela hapa bongo anaipata kwa siku tena bila jasho lolotehttps://www.youtube.com/watch?v=Lh4crj8gMjU
kwani tunasoma ili kuajiriwa? kumbe huku kuna watoto eeeh au umeandikiwa?m sijui ni mtoto wa nan......sasa alisoma ili iweje kama anaweza ingiza hiyo pesa....
hapana hatusomi ili kuajiriwa kwa bill gate alikua anauza sura tukwani tunasoma ili kuajiriwa? kumbe huku kuna watoto eeeh au umeandikiwa?
Mmh hela yako binafsi ina raha kuliko ya baba. Kama ameamua kurudi kuendeleza huduma ya mdingi ni sawa pia.kila jumapili baba yake anapata hyo hela kwanini ajitese?
Kwa bill ilikuwa summer internship tu na sio full job, kwa hiyo muda wa kurudi chuo ulipofika na kazi ikakoma, na hata sasa hivi kwa maelezo yake anawasaidia bill foundation kwenye shughuli zao hapa bongohapana hatusomi ili kuajiriwa kwa bill gate alikua anauza sura tu
Anatafuta kiki, kwa masomo aliyosoma Trump hasingempa viza ya kubaki USA, kaona adanganye wabongo ila ukweli ni kuwa muda wake umeisha hawezi baki bila kibali. Trump kabana mpaka makampuni ya IT yanalalamika hawawezi leta wahindi kama zamani kwa kutumia H1B viza.sijui kwa uelewa wangu mdogo lkn naona sio kweli.....inapaswa ajue watz wa siku hizi sio kama zamani ...kampuni gani iliyokuwa tayari kumlipa m 425 graduate fresh from school....angekuwa mkweli akataja kampuni na cheo alichoahidiwa.....najiuliza tu
Ila alisema milioni 425 kwa mwaka, si kwa mweziMtanzania anayefanya kazi Taasisi ya Bill Gate
[emoji115] fungua uzi alikuwa muajiriwa kwenye taasisi ya Billgate kwahiyo siyo jambo la kushangaza
Akili zenu sijui zikoje, kwahyo unaona hyo hela ni kubwa sana ? Kwa nchi za wenzetu pamoja na makodi kibao hyo ni hela ndogo sana..kitengo gani...kwani kila anaefanya kazi kwa bill gate when anapoquity a job lazima alipwe vzuri.....au lazima awe genius........brother lets reasoning mil425 sio hela ndogo.....xo amekataa mil425 ili aje kumtumikia mungu kwenye kanisa lao
aseehHuyo si binadamu wa kawaida. Something is not right..nahisi kudanganywa!
Usiwe mbishi ndugu marekani ni tofaut na bongo afu hiyo pesa ni kwa mwaka sio mwez yaani jumla ya mishahara ingekuwa hiyokitengo gani...kwani kila anaefanya kazi kwa bill gate when anapoquity a job lazima alipwe vzuri.....au lazima awe genius........brother lets reasoning mil425 sio hela ndogo.....xo amekataa mil425 ili aje kumtumikia mungu kwenye kanisa lao