Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,675
- 18,553
Ni mchungaji huyo, anataka kuwa mchungaji.Huyo anakuja kuwapiga wabongo sana tu. Yani Chenge ataonekana cha mtoto kwa kipigo atakachopiga huyu jamaa.
Mark my words.
Kuna jamaa kaelezea vizuri kuwa hiyo pesa ni mshahala wa mwaka mmoja.
Inaana kila mwezi anapata tsh 35,000,000/= ambazo ni sawa na dola 15,000 kwa mwezi
Ukitoa na ghalama nyingine kama nyumba ambayo ni kama dola 3,000, hadi 4,000, bili za maji, umeme, chakula, usafiri nk, (kama hata pewa na kampuni)
Atabaki na pesa wastani na ni bora aje kutimiza malengo aliyojiweke mwenyewe.
Mimi ninavyo jua hiyo kijana ana kampuni yake aliyoianzisha huku TZ na anapenda kuindeleza mwenyewe.
Na pia anapenda kuwa Mchungaji.
Post sent using JamiiForums mobile app