Sinaga team af mimi sio shabiki wa bongo flevaUmeanza Na Mambo Ya Team
Funny enough, watu naona wanamwona mzalendo na kuwa Diss wamebeba box.Mbongo ukimwambia milioni 425 kwa mwaka,atamwambia mwingine kwa mwezi na huyomwingine atamwambia mwingine kwa siku!
Huyo anakuja kuwapiga wabongo sana tu. Yani Chenge ataonekana cha mtoto kwa kipigo atakachopiga huyu jamaa.Funny enough, watu naona wanamwona mzalendo na kuwa Diss wamebeba box.
Hahahahaha eti diamond anauza Karanga Kiba anauza mifagio! Sina mbavu kabisa hahahaha🙂🙂🙂Kama ulikuwa humfahamu mbongo aloikataa million 425 kwa mwezi ili aje Tanzania kufanya kazi ndo huyo hapo.
Kweli bongo bahati mbaya.
Sure, jamaa ana target zake.Huyo anakuja kuwapiga wabongo sana tu. Yani Chenge ataonekana cha mtoto kwa kipigo atakachopiga huyu jamaa.
Mark my words.
ukweli c kwamba ameacha kazi bali mkataba wake umeisha na hakupewa barua ya kuendelea. so bora amerudi hom![]()
Kama ulikuwa humfahamu mbongo aloikataa million 425 kwa mwezi ili aje Tanzania kufanya kazi ndo huyo hapo.
Kweli bongo bahati mbaya.
Hata kina MCHECHU KINA DAU wanachukua 45,000,000/= madafu hapahapa bongo..Tunamkaribisha nyumbani Tanzania aje aisome vizuri namba
Mwakani kwa mwaka au mwezi iyo mil425?
duhni kwa mwaka au mwezi iyo mil425?
Hii comment ingekua kwenye ule uzi wa kupeana likes ingetishaMbongo ukimwambia milioni 425 kwa mwaka, atamwambia mwingine kwa mwezi na huyo mwingine atamwambia mwingine kwa siku!
kuna vyuo tu ukisoma no one will question kama ww ni genius au lahkitengo gani...kwani kila anaefanya kazi kwa bill gate when anapoquity a job lazima alipwe vzuri.....au lazima awe genius........brother lets reasoning mil425 sio hela ndogo.....xo amekataa mil425 ili aje kumtumikia mungu kwenye kanisa lao
Nitakua wa mwisho kuamin...my take kama kaweza kutaja mshahara ataje na kampuni aliyoikataa simple tu...kwa hiyo na kwa bill gate kaacha .......safi aje kuitumikia nchi yawezekana ana madin muhimu kichwankuna vyuo tu ukisoma no one will question kama ww ni genius au lah
havard-
MiT-mambo ya teknology
Stanford-business
sasa huyo jamaa amepata masters stanford kuingia tu wamarekan kibao wanakosa hzo chance that means yuko bright
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app