Mhe. Rais amesimamisha wafanyakazi kupandishwa vyeo, mbona yeye anawapandisha?

Hongera JPM kwa kuwapandisha PT vyeo. Na nyie
Polisi mliopandishwa Vyeo msivitumie vibaya
 
Ni takribani mwezi na nusu toka mtukufu Rais asimamishe upandishwaji wa vyeo kwa wafanyakazi wa umma mpaka hapo atakapotangaza vinginevyo lakini tumeona yeye akiwapandisha na kuwahamisha wengine tu kama kawaida.

Mfano wale waliokua polisi wanajua kilichotokea cjui kutoka SACP hadi ACP na wale wa chini kupandishwa kuwa SACP. Pia wale wakurugenzi waliopandishwa na wengine kuhamishwa, ni nini hiki kinatokea?

Kweli Nyerere alisemaga ile katiba unaeza kuitumia utakavyo na usiivunje. Nadhani nimeeleweka hapo.
Ivi Polisi nao ni watumishi wa Umma?

Wanaongozwa na sheria zipi za utumishi wa umma??

Maajabu
 
Kuna kipengere kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) kinazungumzia mamlaka ya rais na ukikisoma vizuri utakuta kinaelezea pia discretionary power, nadhani ndicho kimehusika hapo.
 
Back
Top Bottom