Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,633
- 29,506
Ni takribani mwezi na nusu toka mtukufu Rais asimamishe upandishwaji wa vyeo kwa wafanyakazi wa umma mpaka hapo atakapotangaza vinginevyo lakini tumeona yeye akiwapandisha na kuwahamisha wengine tu kama kawaida.
Mfano wale waliokua polisi wanajua kilichotokea cjui kutoka SACP hadi ACP na wale wa chini kupandishwa kuwa SACP. Pia wale wakurugenzi waliopandishwa na wengine kuhamishwa, ni nini hiki kinatokea?
Kweli Nyerere alisemaga ile katiba unaeza kuitumia utakavyo na usiivunje. Nadhani nimeeleweka hapo.