Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari

Mtu yeyote akishaingia CCM akili zinapotea. e.g Mwigulu, Nkamia Eng. Manyanya e.t.c.
Ndio kazi ya Prof. Maji Marefu kuwaharibu wabunge wa CCM akili.
 
warangi tunawajua ,kawaone ktk nyumba za wahindi na waarabu.Ni wambea wazuri sana.Bado ana hofu ya kurudi kijijini.
Kaka hapa sasa unachemka, ukabila siyo issue hapa, jadili hoja! wewe labda ndiyo mbea, kuna kabila gani lisilo kaa huko kwa wahindi na waarabu bwana, acha mcharuko wa hovyo huo!
 
[h=2]Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari[/h]Umekidhalilisha Kiswahili

umeidhalilisha lugha ya Kiswahili,,,,maana lugha ipo kwenye ngeli ya I-ZI na si ngeli ya KI-VI,Ukisema umekidhalilisha Kiswahili,utapata uwingi wa umevidhalilisha viswahili,,,,,,kitu ambacho ni makosa kwenye upatanisho wa kisarufi
TUENDELEE NA NKAMIA
 
Juma Nkamia kilaza!!! ubunge wake ni upendeleo viti maalum
Huyu jamaa wa ajabu sana, ameshindwa hata kuwa na hoja za msingi akiwa bungeni, hana uwakilishi wa mwananchi hata wa jimbo lake tu. ni aibu kuwa ni mwanahabari, maana siku mingi sana tumesikia wanahabari hatuna viwango vya elimu, na hatuna mchango stahiki kwa jamii na maendeleo. Tunaandika habari bila mwelekeo, sysytem ikingilia kati tu, tunatoka kwenye mada, hatua focus kama huyu JnK.
 
Waandishi wa habari wanaweza kumpotezea vilevile kutokuandika kitu chochote kinachohusu yeye manake si amesema ni waongo na TV nazo zinaonyesha uongo
 
Nilimcheki na kusema kweli sikushangaa pale alipoomba kutoa taarifa na kubwabwaja ya kwamba taarifa toka vyombo vya habari si za kuamini. Nadhani amewakosea wanahabari wenzie!! Huyu ndiye Mkaa wa Mia a.k.a mkamiaji! Anayejua sababu za huyu bwana kutoka Simba SS kama mwenezi atujuze!

Wakatabahu!:israel:
 
Kaka hapa sasa unachemka, ukabila siyo issue hapa, jadili hoja! wewe labda ndiyo mbea, kuna kabila gani lisilo kaa huko kwa wahindi na waarabu bwana, acha mcharuko wa hovyo huo!
Nani kakuambia kila kabila ni mtumwa wa waarabu?
-Kwa hiyo kwa vile linahusu kabila tuache liendelee?
-kwa taarifa yako warangi wanaweza kuwa kabila pekee lenye watu wengi wasiopenda kuitwa warangi at first place.Ukitoa makabila ya mpakati mwa kabila 2 huwa wanataabus ana kuchagua upande na mwishowe huishia kubadili kabila tokana na mazingira.Jiulize ni kwanini?
 
Nkamia licha kubezwa yupo sahihi tatizo ni kuwa watu wengi humu wana mawazo ya kushoto, na hawanampango wa kupokea hoja kutoka kulia hata km hoja hizo ni za kweli, na hoja zao ni uzushi. Taarifa rasmi ya MNH imethibitisha huduma kuanza kutolewa na changamoto zilizopo, wizara ya afya pia imetoa taarifa inayoshabihiana na ya Nkamia. Lakini wanaharakati waliodhani watawateka muda mrefu kimawazo madaktari wataendelea kucheza sebene batili wanalowapigia.
 
mchumia tumbo tu huyo, kweli nilibaki mdomo wazi niliposikia kauli km hiyo ikitolewa na mtu wa habari, duh kweli ukiwa ccm una kuwa km crazy.
 
Nilipokuwa nasikia kauli ile tena ikitoka kwa mwanahabari mwandamizi,Juma Nkamia nililishtuka sana,yaan watanzania wengi wamesikia wenyewe kwa kuona kwenye tv madaktari bingwa wakitangaza kuanza mgomo jana,yeye anatumbia tusiamini vyombo vya habari?,kweli ccm ni kama pepo!

Ni shetani kabisa siyo pepo.
 
Hivi unategemea nini kwa mtu aliyefanya kazi TVT siku hizi TBC1

Si ndiye huyu alikuwa akitutangazia kwamba Simba au Taifa Stars inaonewa enzi zile za radio, wakati ulikuwa uongo kama alivyoongopa leo bungeni. Sijui kwani hajaambiwa kuthibitisha!
 
inavyoonekana mtu ukishaenda ccm hata uwe na akili kiasi gani lazima utaanza kutema pumba hasa ukilewa madaraka
 
nkamia bwana!anacheshakweli sijui cv yake inasomeka vp! nilimshangaa sana kipindi kile cha kupinga posho za wabunge akawa anasema kuwa yeye ni maskini anapaswa kupata posho hizo ili ajikomboe kutoka kwenye lindi la umaskini! aiseee!anasikitisha sana!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimasikini hadi wa fikra kikwelikweli.Ni kaoga oga na inferiority complex ya hali ya juu.Kila akiongea na watu kanaowana wapo juu utakiona kinavyoangalia kwa woga na kinaongea kwa staili ya kumfurahisha mtu kinachojaribu mu interview.
 
Nani kakuambia kila kabila ni mtumwa wa waarabu?
-Kwa hiyo kwa vile linahusu kabila tuache liendelee?
-kwa taarifa yako warangi wanaweza kuwa kabila pekee lenye watu wengi wasiopenda kuitwa warangi at first place.Ukitoa makabila ya mpakati mwa kabila 2 huwa wanataabus ana kuchagua upande na mwishowe huishia kubadili kabila tokana na mazingira.Jiulize ni kwanini?
Acha upuu.zi wewe mimi am proud to be mrangi na siwezi badili kabila na wala sijawahi kusikia mtu amebadili kabila hadi leo, na wala sijasikia mtu hataki kuitwa mrangi, hayo ni maneno ya ulevi tu, halafu issue hapa ilikuwa ni kujadili jinsi Mh. alivyochangia bungeni na wewe kwakuwa huna hoja ya maana ukaja na ukabila, eti mrangi kwa mwarabu! lol, aibu hizo kama huna la kusema si una nyamaza, hakuna sababu ya ku potray level yako ndogo ya kufikiria hapa! yawezekana wewe darasa la saba au form four uliyefeli!
 
Back
Top Bottom