Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

kumwondoa Pinda inaendana na kuvunja baraza la mawaziri

ndio maana yake...kikubwa hamtaki pinda..haiwezekani kila pendekezo analopendekeza, jk anatoa nje..kuanzia kwa jairo hadi hapa...
 

Umeweka hoja yako vizuri sana hasa unapomaanisha ambaye jina lake halimo hawezi tena kuonekana mkweli pale atakapoinuka na kujifanya anatetea maslahi ya nchi; waliokwepa hiyo orodha wamejiingiza kwenye mtego kwa wananchi.
 
Reactions: FJM
Now I dare to believe this move has the blessing of President. Mkono is close to JK
 
Haha haha ha ha ha,
Haya Kaka. Vipi na wale wanachama wenu 3500 ambao Lema amevuna huko Mwanza na wenyewe walikuwa mzigo kwa CCM? Sijui utaweka wapi sura yako 2015.
Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!
 
Who is Mkono anyway? Does he even talk?

I can swear I don't remember when I last heard him talk in parliament let alone sponsor any kind of significant piece of legislation.
 
lengo la kikwete ni kumuondoa pinda hapo kitini..
Si kweli kwani alishindwa nini kufanya reshaffle kabla hadi aje amwondoe kwa aibu. Sema mambo yamekuwa ndivyo sivyo walivyotegemea sasa ndipo wanasema Zitto katumwa na Kikwete, i can't buy that.
 
Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!

Lakini hiyo mikakati yenu ndiyo suluhisho la matatizo yanayolikabili taifa? Kwamba mkishaianika CDM gharama za maisha zitashuka, elimu itakuwa bora, ubadhirifu utaisha, malighafi za nchi zitalindwa, ajira zitapatikana?
Haya ndiyo mambo yaliyopo kwenye fikra za watu na si mashindano ya kuchafuana vyama kisiasa.
 
.....Mkuu Jasusi sikutegemea kabisa kama huyu naye angetia mkono wake wa kumuondoa Pinda madarakani.

hivi ni kumuondoa pinda au pinda akiondoka ndiyo na wale wengine ndo wataondoka automatically kwa kuwa baraza la mawaziri itabidi livunjwe? Japo kwangu mimi pinda siyo kiongozi. Kwanza ningekuwa Pinda ningeshasepa mida.
 
Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!

Please do it quickly Rejao, you're soon to be technically dead. Only remember: your spinning will only escalate you troubles!
 
ONLY 8 WHICH IS NOTHING OUT OF 260

hii hoja haitopita hizi ni sarakasi za MAJITAKA


Regardless ya kwamba yaweza kua gutter politics... Walau inatoa facts na si assumption ya hasa situation iko vipi. Inaweza isijalishe wangapi wata sign ila it matters who signs... Hasa ukizingatia aliesimamia kidete ni Zitto.
 
naamini JK anasoma hii thread.

Aaah! Wapi Mkuu! Huwa kila asubuhi anasoma matangazo/mialiko ya makongamano au Warsha zitakazo fanyika duniani ili apate kujialika mwanyewe. Si unajuwa tena siku hizi kesha maliza kuzungukia marais wote duniani, hivyo ili aendelee kuzurura ni lazima ajialike mwenyewe. Unafikiri katika dunia hii ya leo, ni rais gani anaye weza kumwalika rais mwenzake kwenda kuangalia nyanya?
 
Nani anaonekana mpumbavu, 8 waliosign au zaidi ya 250 waliokataa? Hao nane wamekurupuka tu. Watarealize walichofanya ni kosa kubwa sana ambalo kwa namna moja au nyingine litawacost hapo baadaye.
 
tutamkumbuka sana Marehemu Shekh Yahaya, angeshatupa mwanga kwenye hilii, ha ha haaaa na JK angemskilizaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…