MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,443
maana yake ni kuwa anakerwa na namna serikali ya ccm inavyoongoza nchi kama kampuni binafsi!Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu. Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu. Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....