Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula. Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga. 2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO . Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha. Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta. Sisi wapiga kura wa Kongwa tunajiuliza hivi hizi chupi za kipare zikoje ! mbona wagogo wanaweweseka sanaaa, na kaka yake Ndugai Malacela naye hivyo hivyo akachelewa na chupi ya kipare kiwanda cha soda kikaenda Mbeya japokuwa kule kuna baridi. Sisi wapiga kura wake Ndugai jioni hii ndiyo tumemwona yeye kituko analiambia jembe kituko wakati mwenyewe ni ****** tu.
Umepamba chupi za kipare mpaka unaanza kuntia hamu na wamiliki wa hizo chupi!
Jf raha tupu nilitoka na mastres yangu ya kusaka pesa na ful hasira nafungua hii thread nabaki kucheka peke yangu tu hadi wyf anashangaa
Kwa bei ya ToyoVituko ni nyie wananchi mnaouza utu wenu kwa Ndugai.
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!
Mkuu wengine tuko kijijini,hatuna access ya kouna bunge live,hebu tudadavulio kilichojiri mpaango mzima!Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile.
Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo:
1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula.
Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga.
2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO .
Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha.
Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta.
POLE MKUU NAONA UNAHASIRA SANA ,ila na nyie wakongwa mnavituko kuchagu mbunge mwenye vituko kama Ndugai na wenye vituko zaidi ni hili bunge legelege kuchagua naibu spika mwenye vituko vya hovyo km Ndugai.Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula. Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga. 2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO . Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha. Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta. Sisi wapiga kura wa Kongwa tunajiuliza hivi hizi chupi za kipare zikoje ! mbona wagogo wanaweweseka sanaaa, na kaka yake Ndugai Malacela naye hivyo hivyo akachelewa na chupi ya kipare kiwanda cha soda kikaenda Mbeya japokuwa kule kuna baridi. Sisi wapiga kura wake Ndugai jioni hii ndiyo tumemwona yeye kituko analiambia jembe kituko wakati mwenyewe ni ****** tu.