Mhe. Ngugai ndiye kituko!! Someni hapa!

Mhe. Ngugai ndiye kituko!! Someni hapa!

Ndungai ana hasira na uchungu sana kwa MH Mdee.

May be alijiGongagonga kwa halima akamtolea nje!!!!?

Alidhani MH Mdee is another cheap Dr Fatuma???
 
Jf raha tupu nilitoka na mastres yangu ya kusaka pesa na ful hasira nafungua hii thread nabaki kucheka peke yangu tu hadi wyf anashangaa

nachidi Uko sahihi kiongozi JF ni zaidi ya burudani mi pia huwa nafurahishwa sana na comments za baadhi ya members.
 
Last edited by a moderator:
dah,,,,mdau kweli una hasira na mbunge wako,what i know kale kamchezo kanachofichwa ndani ya chupi kana changamoto zake bhana

tatizo la wagogo siyo changamoto mkuu, ni changabaridi. Kwa mfano wakiacha kuwakata visimi/tohara kwa akina mama, watathamini hata kichofichwa kwenye chupi za akina mama wa kigogo.
 
Kituko zaidi ni kuongoza bunge gizani,baadae kajistukia na kuahirisha kabla ya mda bila kutaja kanuni yoyote inayotumika kuahirisha bunge bila kujiridhisha kuwa hali iliyopo hairekebishiki!mzani ni kitu kizuri sana tumepima kati ya mdee na Ndugai

ndugai ukibaraka umemzidia adi anashindwa ata kuzuga kdogo mana anajua yeye ubunge kwake hafit kabisa alihonga sana, unaibu spika ndo kabisa yeye na kiroboto walipewa kama zawad wazibe nafas ili wenye sifa kama sitta wasipewe so ilikua yafaa ata jiwe lipate uspika na tofari liwe naibu kuliko sitta na mtu wa kariba yake wapewe hizo nafasi muhim kabisa.
hivo basi kama utendaji wao ulitarajiwa uwe hata wa kiwango cha jiwe na tofari as SATISFACTORY then wamefanya wonders so far, jamani tuwang'oe hawa CCM ata kwa maandamano me npo tayar ata kesho tuanze kwenda road
 
Wala usiwe na hofu,
Chupi siyo tusi,
Chupi ni nguo ya ndani,

Matusi ni namna,
neno chupi linavotumika,
kumpambanua na kumpamba mtu.

Chupi ya kipare usilogwe kujinasa,
ukilogwa uonje tu
utataka tena na tena,
hadi wazimu ukuingie na mayowe kupiga.



nilijuwa kwenye 'chupi' itaweka ***** kumbe nasing kwa kweli. ngoja na mimi niseme.....chupi
 
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula. Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga. 2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO . Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha. Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta. Sisi wapiga kura wa Kongwa tunajiuliza hivi hizi chupi za kipare zikoje ! mbona wagogo wanaweweseka sanaaa, na kaka yake Ndugai Malacela naye hivyo hivyo akachelewa na chupi ya kipare kiwanda cha soda kikaenda Mbeya japokuwa kule kuna baridi. Sisi wapiga kura wake Ndugai jioni hii ndiyo tumemwona yeye kituko analiambia jembe kituko wakati mwenyewe ni ****** tu.

Hii inanikumbusha mihadhara ya Dkt Ndibalema Alphonce,sasa marehemu enzi hizo UDSM..Alikuwa hamalizi kipindi bila kutaja chupi.Alikuwa akilazimisha kuingiza mifano na porojo yake ili ihusishe CHUPI.
Dokta huko ulipo jua umepata mrithi Ndugu ebaeban!!!
 
Kweli anavyoongoza bunge utadhani ni mkutano wa chama. Nilitegemea angekuwa 'neutral' lakini naona 'fairness' inamshinda sana. Leo kamwambia mbune mmojawapo: "Ndiyo maana tunakwambia tumethubutu, sijui nini na tunasonga mbele." Yaani, spika wa bunge unaleta slogani za chama chako na wakati huohuo unadai ni spika wa wote? Huu mchezo kabisa!
Ile kauli ilinishangaza sana. Nafikiri katiba yetu ibadilishwe, mgombea uspeaker awe ni non partisan.
 
Nimeangalia ITV eti kamtoa mbunge wa Kigamboni nnje Bwana Ndungulile kwa kusema uongo, halafu anadai kumpuuza Mh mdee na hatomtoa nnje kwa kutoa kauli ya uchochezi eti akimtoa atapata umaarufu kwani atatangazwa na vyombo vya habari! sasa hapa simwelewi
1- Hivi wadau kwa akili za ndungai kutolewa nje ndio kupata umaarufu?|
2- je anamaaniasha kuwa Dr Faustine ndungulile atapata umaarufu?
3- kutolewa nnje wabunge wa CCM ni kuwaongezea umaarufu kwasababu amegundua kwamba kadri Wabunge wa upinzani wanavyotolewa Bungeni wanapata Umaarufu?
4- OK sawa kwahiyo kwenye shahidi zote zilizotolewa ina maana huu wa mbunge wa CCM pekee ndio umeonekana kuwa ni wongo?
5- kwakuwa CCM wamezoea kudanganya sasa itakuwaje kwa shahidi za kweli zilizokwishatolewa na wabunge waliotakiwa kuleta kama mh Lema na ZIto ambazo mpaka leo hatujui nini kinaendelea?

Binafsi naona huyu dhaifu Ndungai iko shida mno!!!!! inapendeza kama aki :baby::baby::baby::baby::baby:
 
Mlikosa haki yenu ya msingi kwa kuuza kura ndo matokea yake hana uchungu na jimbo ndo maana anaongea pumba na kufanya bunge kama family yake sio kosa lake.
 
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!

Dah u.m.b.e.a mtupu
 
Sina uhakika kama wewe ni mmoja kati ya wanaopiga kura. Pia sijui kama watani zangu wagogo hasa wa Kongwa walio wengi watakuelewa juu ya fitina ulizozimwaga hapa. Sina maana kuwa Ndugai kama watu wengine walivyo si dhaifu la hasha ila hizi ulizozieleza naamini ni fitina za kisiasa
 
Huyu alikuwa mpiga debe wa Shamsha bwana 2005. Hadi sasa bado anaweweseka. Issue ya Dr Fatuma na ****** iko too personal,haiwasaidii lolote wana Kongwa,au anataka kutuambia Job angeoa mgogo mwenzake angebadilika ?!! Kama wagogo haohao waupinzani walimwacha Baba Nyemo apite bila kupingwa 2010 wanalalamika nini leo ?!! Eti ****** alihonga tukutuku,elezea basi na zile hongo za Shamsa mlizokula halafu dili ikawa dirisha(kila mwanakongwa anajua wazi Shamsa alimwaga pesa nyingi kushinda Ba Nyemo,ila alipungukiwa mbinu za ushindi). Hellen Keller / KTP kazi yao ilikuwa ni kutoa kinga dhidi ya trachoma,tiba ilikuwa kitu cha ziada tu ambacho hata KDH (Kongwa District Hospital) wanaweza. Kinga ya trachoma hutolewa kwa 5 yrs tu,wewe ulitaka KTP waendelee kutulisha zithromax hadi lini ?!!! Ongea na wagogo wenzako wanawe uso bhana wapunguze idadi ya vipofu. Sio viZuri kuwamaind mademu wetu wa kipare, eti ndo wanampoteza Job !!!
Sina uhakika kama wewe ni mmoja kati ya wanaopiga kura. Pia sijui kama watani zangu wagogo hasa wa Kongwa walio wengi watakuelewa juu ya fitina ulizozimwaga hapa. Sina maana kuwa Ndugai kama watu wengine walivyo si dhaifu la hasha ila hizi ulizozieleza naamini ni fitina za kisiasa
.
 
Sikumbuki katika kufuatilia kwangu yanayoendelea bungeni kama mtu huyu amewahi kuchangia chochote cha maana zaidi ya hoja za jazba na visasi visivyokuwa na tija yoyote kwa wapiga kura wake.

Wakulaumu ni wapiga kura wake kwa kuchagua garasa, hii inaonyesha M4C haijaingia Kongwa.
M4C inahitajika Kongwa kwa ajili ya ukombozi dhidi ya kirusi hiki hatari!....
 
ebaeban. Haya bwana ulishambulia post yangu kuwa nimekurupuka kuandika haraka imhusuyo ndugai. Sasa wewe hilo neno NGUGAI na KITIKO ndio nini kwenye heading yako?

Ha ha haaa, hii kweli kali!
 
Ebaeban ebu weka sawa hapa Shamsha Mwangunga aligombea ubunge Kongwa?Kumbukumbu zangu zinaonyesha aligombea Ubungo....am stand to be corrected.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom