Mhe. Ngugai ndiye kituko!! Someni hapa!

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile.

Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo:

1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula.

Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga.

2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO .

Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha.

Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta.
 
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1.Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula.

Asante kwa taarifa, mnyimeni kura 2015 na mlinde kura zenu 2015
 
Kweli thread hii inaelezea vtuko tupu,manake hata kichwa cha hbr chake ni kituko achilia vilivyomo ndani..
 
ebaeban Umenifurahisha sana kumbe hata wapigakura mnamuona hivyo. Nilikuwa natamani kuweka thread kama hii lakini nilijizuia kuwa wapiga kura wake wameona yeye ndo bora kuliko wote Kongwa. Ndugai ni mpenda sifa anajiona kafika na kusahau kuwa cheo ni dhamana, walikuwepo akina Pius Msekwa wako wapi, Sita alikuwa jembe wakampiga chini kwa ulevi tu wa CCM. Kongwa mnaombwa 2015 asirudi tena anachefua. Hiv anafikiri wote wana akili fupi kama yeye.Ajirekebishe vinginevyo anazidi kujionyesha udhaifu wake. Wote na yule Spika hawafai bunge wanafikiri mali ya CCM. Na sala wanyoongoza itawarudi Mungu hapaswi kutajwa kwa dhihaka mbona hawatendi haki wapo wapo tu. Afadhali mwenyekiti mpya wa bunge ZUNGU anaweza kidogo kuendesha bunge. Ndugai Acha kiburi Cheo ni Dhamana. Konwa Mkimuacha arejee tutawaona nyie ndo wenye akili za kishamba kama Ndugai. Ni limbukeni sana alisoma wapi huyo jamaa. Hawezi kujilinganisha na Mdee hata siku moja labda Mabumba ndo wako level moja na Ndugai.
 
Last edited by a moderator:
ebaeban dah,,,,mdau kweli una hasira na mbunge wako,what i know kale kamchezo kanachofichwa ndani ya chupi kana changamoto zake bhana
 
Last edited by a moderator:
ebaeban Na wewe KITUKO,ulikuwa wapi siku zote? Halafu kajifunze upya kuandika!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula. Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga. 2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO . Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha. Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta. Sisi wapiga kura wa Kongwa tunajiuliza hivi hizi chupi za kipare zikoje ! mbona wagogo wanaweweseka sanaaa, na kaka yake Ndugai Malacela naye hivyo hivyo akachelewa na chupi ya kipare kiwanda cha soda kikaenda Mbeya japokuwa kule kuna baridi. Sisi wapiga kura wake Ndugai jioni hii ndiyo tumemwona yeye kituko analiambia jembe kituko wakati mwenyewe ni ****** tu.
Kweli anavyoongoza bunge utadhani ni mkutano wa chama. Nilitegemea angekuwa 'neutral' lakini naona 'fairness' inamshinda sana. Leo kamwambia mbune mmojawapo: "Ndiyo maana tunakwambia tumethubutu, sijui nini na tunasonga mbele." Yaani, spika wa bunge unaleta slogani za chama chako na wakati huohuo unadai ni spika wa wote? Huu mchezo kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom