Nafsi yake ina msuta
Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Nafsi ya Ngeleja sasa ndiyo itamsuta hadi mautini. Hakumfanyia vyema Ruge. Amrudishie Ruge hela yake tena kwa mficho kama alivyopewa kwa mficho.
TRA ndiyo iliyompa hiyo fedha?? Aache utani na fedha ya Ruge. Kama alikuwa anaichukia si amrudishie mwenyewe?? Acheni kumsifu msaka dili. Naamini, hakika kuna kitu Ngeleja anatafuta kwa mkuu nacho sio kingine ila ni kale kanafasi kalikoachwa wazi na Muwongo tu. Kweli, msaka dili hajali hata kumtosa mtu. Ptyuuuuu