Mhe. Ngeleja, Mzee Rugemalira amekukosea nini hadi 'umhujumu' hivi?

Nafsi yake ina msuta

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Ngeleja hajarejesha pesa alizopewa na Rugemalila, Bali ameichangia kwa hiari yake serikali kiasi cha fedha kinacholingana na fedha alizopewa na Rugemalila!
Tungesema amerejesha kama angemrudishia aliyekuwa amempa yaani angezirudisha kwa Rugemalila!
Kwa mfano kama zile fedha zingekuwa ni mkopo ambao Rugemalila amewakopesha, INA maana Rugemalila angeridhika kuwa deni limelipwa?
Ngeleja ametenda kosa LA kuingilia kesi iliyoko mahakamani! Mahakama haijaamua bado kuwa hizo hela hazikuwa ni halali ya Rugemalila Bali ni halali ya serikali!
Lakini hata kama Ruge atashindwa kesi na kuamriwa azirudishe, atazirudisha mwenyewe na hana haki ya kuwadai aliowazawadia! Alipokuwa anazawadia rafiki zake alikuwa anafanya matumizi! Zingine alinunua vitu madukani! Inamaana kote huko alikotumia ataenda kuzidai? Kama alilipia nauli kwenye ndege pia ataenda kudai arudishiwe?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Niwaombe na wengine waliofaidika na fadhila za Rugemalila wamuunge mkono Ngeleja kuichangia serikali kiasi hicho hicho walichofadhiliwa na Ruge! Hamrudishi Bali mnachangia! Mkiamua kurudisha basi mtamrudishia aliyewapa bila shaka mnamfahamu! Kama serikali ikizitaka itamdai MTU aliyezichukua toka benki kuu na akaanza kuzigawa!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Anatafuta uwaziri wa nishati na madini, ni ikitokea akapewa huo uwaziri najitoa mitandaoni narudia kisimu cha tochi maana kila kitu ntaona propaganda tu za kisiasa
 
Pesa zilitoka BOT, zikaenda Mkombozi na Stanbic, TRA wajibu wao nikukusanya kodi, kitu najiuliza kwa nini pesa ziende TRA na sio zilikotoka yaani kwa Ruge..
 
Wote walewale ,walishirikiana sasa wanakimbiana, lakini muelekeo no WOTE KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO MOJA,kule alikosema MKUBWA ,"eneo la ekari 2186 zisigawiwe, walio fisidi mali za waTZ watakuja KULIMA NA KUFUGA''

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi nadhani ilisemwa kwamba bwana Ngeleja alilipa kodi TRA Milioni 13. Ila leo anarudisha zote SERIKALINI. Weird decision. Sijui alipita TRA kukomba zile M13? Harafu eti huyu nae ni Lawyer. Sijui nae ni lawyer msomi?

Elewa hii ni nchi ya kusadikika n maajabu yk tuyatungie kitabu tu
 
Fact. Ruge atashinda kesi hii asubuhi .Aliuza kampuni yake ,akalipa kodi na akagawa pesa zake. Kosa liko wapi ??
 
Ngeleja ameamua kutoa vijisenti kusaidia bajeti ya serikali.
Ni jambo jema. Lakini asidanganye watu kuwa amerudisha pesa.
Kama ni kurudisha angerudisha kwa Rugemalila. Hata hivyo asiishie hapo tunataka atuambie na vyanzo vyake vya fedha na mali zake anazomiliki.
Inaonekana ana ukwasi wa kutosha kama mi.40 alizopewa kama zawadi amekosa cha kuzifanyia tangu mwaka 2014 mpaka ameamua kurejesha serikalini moja na kodi aliyolipa zaidi ya mil.13 hivyo amerejesha jumla zaidi ya sh. M. 53.


Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hajamsaliti....isipokuwa amefanya kile nafsi inaona inafaa zaidi kuunga mkono juhudi za Rais kupambana na ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.



From Kibiti

Ni kawaida yenu kugharamia misiba kwa mamilioni lkn kumpelekea mgonjwa matunda huwa ni tatizo.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom