mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Mh.Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Fedha
PPF kunaubadhirifu mkubwa sana wa pesa za umma.Wakurugenzi hawatulii ofisini, ni Dubai, Johanesburg, London hili nalolichunguzwe, wanatafuta nini kikubwa huko chenye manufaa.
Kubwa kwa leo ni namna pesailivyoliwa na uongozi wa PPF kwa njia ya Group Endowment
Hebuunda timu huru ichunguze jinsi Mkurugenzi Mkuu wa PPF alivyolifilisishirika.Mwaka 2008 April alichota 1.2Bilion na kuwapa wakurugenzi wake sita kama mafao ya Group Endowment ambayo siostahili kwa wafanyakazi wa mikataba. Alipoambiwa kuwa sio stahili yao na MhasibuMkuu wa PPF, akamfukuza kazi.
Alipoonahakuna soo yoyote baada ya kuwalipa hawa, naye akachota milioni 450 peke yake
Wafanyakaziwa mikataba wanastahili na huwa tunawalipa 25% ya mishahara yao kama gratuityna pia tunawalipia pension 15%.Hivyowakurugenzi (sio bodi) wamekuwa wakipata 40% ya mishahara yao kila baada yamiaka 3.
Mh. Mafaoya group endowment kwa PPF ni maalumu kwa wafanyakazi wa kudumu tu wanapoondokakwenye ajira kwa kifo, kustaafu au kupunguzwa. Wafanyakaziwalioonyesha kutoridhishwa na malipo haya waliishia kufukuzwa kazi kwa kisingiziokuwa wamewatukana wakurugenzi kupitia Jamii forum.
Wizarayako badala ya kuwa taka warudishe pesa waliyochukua kinyume na taratibu,wakaagiza kusiwe na ajira za mkataba kwa wakurugenzi.Huu nao ni ufisadi mwingine, maana watalipwatena GROUP ENDOWMENT wanapostaafu.Hapawalitakiwa pesa yote karibu bilioni 2 zirudishwe PPF, ziwekezwe na ziwanufaishewanachama wake.
Mh.PPF wana kesi CMA za kufukuza wafanyakazi kwauonevu Zaidi ya nne.Moja imeisha natayari mfanyakazi aliyeonewa kalipwa MILIONI 600. Je huu ndio utunzaji bora wafedha za wafanyakazi?Bado kunawalioonewa wakapunguzwa kwa uonevu jumla ma walioondolewa kwa kuwafukuzawanadai Zaidi ya bilioni 6.Hizi ni pesaza wanachama.
Naombauweke uchunguzi huru, lakini ripoti hii asipwe Mh. Zitto.Huyu anayo ripoti kamili ameifungiakimya.Wafanyakazi tunajua CAG alitoariport, Zitto akaongea na CAG mstaafu wakaiminya.Kamati yake iliagiza special Audit toka April2011.Hadi leo kimya.Tuaamini VIJSENTI vilitumika kumzima Zitto.
Wakatiuchunguzi wa pesa za GROUP ENDOWMENT ukifanyika, tunaomba na uchunguzi wa namnaMkurugenzi wa fedha na Mkaguzi mkuu wa ndani walivyo pindisha taratibu na kuuzaviwanja vya mfuko vilivyonunuliwa kwa Tshs milioni 52 mwaka 1996 na kuuzwa kwamilioni 16 mwaka 2004 na wakagawana hao wawili.VIWANJA virudishwe PPF na wao washtakiwe kwa matumizi mabaya yamadaraka.
MkurugenziMkuu wa PPF arudishe Milioni 450 na riba na wenzake warudishe milioni 220 kila mmojana riba toka walipo-zidikoa.
Mh. Nchemba naamini utalifanyia kazi.Majibuyaonekane.Ukinihitaji ni PM unipe nambayako nitakuja ofisini nikupe taarifa na nyaraka zote.
Wako
MchukiaUfisadi