Mhe. Nchemba, chunguza DG wa PPF anvyofuja pesa za michango ya wastaafu

Status
Not open for further replies.

mchukiaufisadi

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
547
225
Mh.Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Fedha

PPF kunaubadhirifu mkubwa sana wa pesa za umma.Wakurugenzi hawatulii ofisini, ni Dubai, Johanesburg, London hili nalolichunguzwe, wanatafuta nini kikubwa huko chenye manufaa.
Kubwa kwa leo ni namna pesailivyoliwa na uongozi wa PPF kwa njia ya Group Endowment

Hebuunda timu huru ichunguze jinsi Mkurugenzi Mkuu wa PPF alivyolifilisishirika.Mwaka 2008 April alichota 1.2Bilion na kuwapa wakurugenzi wake sita kama mafao ya Group Endowment ambayo siostahili kwa wafanyakazi wa mikataba. Alipoambiwa kuwa sio stahili yao na MhasibuMkuu wa PPF, akamfukuza kazi.

Alipoonahakuna soo yoyote baada ya kuwalipa hawa, naye akachota milioni 450 peke yake

Wafanyakaziwa mikataba wanastahili na huwa tunawalipa 25% ya mishahara yao kama gratuityna pia tunawalipia pension 15%.Hivyowakurugenzi (sio bodi) wamekuwa wakipata 40% ya mishahara yao kila baada yamiaka 3.

Mh. Mafaoya group endowment kwa PPF ni maalumu kwa wafanyakazi wa kudumu tu wanapoondokakwenye ajira kwa kifo, kustaafu au kupunguzwa. Wafanyakaziwalioonyesha kutoridhishwa na malipo haya waliishia kufukuzwa kazi kwa kisingiziokuwa wamewatukana wakurugenzi kupitia Jamii forum.

Wizarayako badala ya kuwa taka warudishe pesa waliyochukua kinyume na taratibu,wakaagiza kusiwe na ajira za mkataba kwa wakurugenzi.Huu nao ni ufisadi mwingine, maana watalipwatena GROUP ENDOWMENT wanapostaafu.Hapawalitakiwa pesa yote karibu bilioni 2 zirudishwe PPF, ziwekezwe na ziwanufaishewanachama wake.

Mh.PPF wana kesi CMA za kufukuza wafanyakazi kwauonevu Zaidi ya nne.Moja imeisha natayari mfanyakazi aliyeonewa kalipwa MILIONI 600. Je huu ndio utunzaji bora wafedha za wafanyakazi?Bado kunawalioonewa wakapunguzwa kwa uonevu jumla ma walioondolewa kwa kuwafukuzawanadai Zaidi ya bilioni 6.Hizi ni pesaza wanachama.

Naombauweke uchunguzi huru, lakini ripoti hii asipwe Mh. Zitto.Huyu anayo ripoti kamili ameifungiakimya.Wafanyakazi tunajua CAG alitoariport, Zitto akaongea na CAG mstaafu wakaiminya.Kamati yake iliagiza special Audit toka April2011.Hadi leo kimya.Tuaamini VIJSENTI vilitumika kumzima Zitto.

Wakatiuchunguzi wa pesa za GROUP ENDOWMENT ukifanyika, tunaomba na uchunguzi wa namnaMkurugenzi wa fedha na Mkaguzi mkuu wa ndani walivyo pindisha taratibu na kuuzaviwanja vya mfuko vilivyonunuliwa kwa Tshs milioni 52 mwaka 1996 na kuuzwa kwamilioni 16 mwaka 2004 na wakagawana hao wawili.VIWANJA virudishwe PPF na wao washtakiwe kwa matumizi mabaya yamadaraka.

MkurugenziMkuu wa PPF arudishe Milioni 450 na riba na wenzake warudishe milioni 220 kila mmojana riba toka walipo-zidikoa.

Mh. Nchemba naamini utalifanyia kazi.Majibuyaonekane.Ukinihitaji ni PM unipe nambayako nitakuja ofisini nikupe taarifa na nyaraka zote.

Wako
MchukiaUfisadi
 
Bado nasubiri hili JIPU MH. RAIS Magufuri
 
iGodmanhustler

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
611
500
Daah JPM/Majaliwa siku akienda hapo nitafurahi sana maana hili shirika kwa dhuruma kwa wafanyakazi wasio na connection yoyote wako vizuri!!!
 
Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,371
2,000

Taarifa muhimu na ifanyiwe kazi. Hebu fanya editing ya thread yako ili wasije singizia hawajakuelewa!
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284

Watu wakipata mirija wananyonya mpaka tone la mwisho.

Hawana msalie
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,023
2,000
Hili shirika na hifadhi ya jamii yaani PPF lina matatizo ya kiutendaji ambayo ni lazima yakabiliwe kama kweli sisi wachangiaji wa huu mfuko tunataka kupata faida kutokana na uwekezaji wetu mara wakati ukifika. Mimi naandika hivyo kwa uchungu kwasababu ni mwanachama wa siku nyingi mfuko huu na naona jinsi wafanyakazi wa shirika wanapopelekwa kutuwakilisha wanachama sehemu mbali mbali walikowekeza wanavyowajibika bila kutetea maslahi ya shirika bali maslahi yao wenyewe.

Shirika la PPF limewekeza fedha zetu sehemu mbali mbali yakiwemo mabenki; huko sehemu walikowekeza wanawakilishwa kwenye bodi za wakurugenzi na wafanyakazi wao ambao wanawajibu wa kutetea maslahi ya shirika ambayo ndio yetu sisi wachangiaji wa mfuko,lakini utakuta hawafanyi hivyo bali hutetea maslahi ya wawekezaji wengine hasa wale wanaotoka nje!! Hawa wawakilishi hasa wale wa kwenye mabenki kwani nina ushahidi wa matendo yao;wanarubuniwa na menejimenti husika kwa kuwapa safari za kwenda nje au vijizawadi mara nyingine hata fedha. Mfano hai ni benki moja ambayo PPF imewekeza na sasa hivi wawekezaji wa nje wanataka kuwadhulumu wazawa walioanzisha benki hii ; mkurugenzi muwakilishi wa PPF mara zote anakuwa akiwatetea wawekezaji wa nje mara nyingi hata pale ambapo tuanategemea kuwa maslahi ya wazalendo yanapokwa!!

Kufanya kazi kwa mazoea ndiko kunaufanya uongozi wa PPF kuwa wavivu kuwaba dilisha wawakilishi wao katika mabodi mbali mbali na hilo ndilo linalozaa mapungufu haya. Natarajia kuwa uongozi wa PPF utaamka na kufanya mabadiliko ili kuleta ufanisi katika shirika lao.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom