Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
Kabla
 
Gwajima naye amfungulie kesi makonda kwa kumchafulia jina km drug dealer

Hivi kwa mtu amabaye haoni aibu kusimama madhabauni badala ya kutoa neno anatoa macho kuangalia wake za watu....bila aibu alimtafna mke wa Mbasha na mimba juu....unawezaje kataa kuwa haka kazee akatumii madawa ya kulevya?.
 
Nyie ndo mbazidi kumwanika huyu ndugu. Saa ingine ukimya ni tiba tosha.
Uko sawa mkuu, ila kuna watu pengine hawajui nini anafanya RC Makonda na wanafata upepo tu wa kishabiki, perhaps kupitia thread kama hizi watamjua ni nani
 
Utata wa Daudi uko mtandaoni tu! Huko kijijini kwao wanajua vizuri tu Daudi na bwana yule wanahusianaje! Ukiwaita wanakijiji waliosoma naye bwana yule wamtambue Daudi mahakamani inaweza kuwa kioja! Necta pia wana picha ya Daudi aliyotumia kwenye usajili, Pamba Sekondari wana Paswa kuwa na picha ya Daudi kwenye faili lake! Kufunika kombe ni vigumu sana! Dawa nzuri kwake ni hii aliyoichukua ya kuwa kimya! Ili maadam mwajiri wake haimsumbui (haelekei kuwa na haja hata ya kuhakiki) hakuna tatizo labda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Double standard katika ubora wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Subirini mchukue nchii ndo mjue maana ya double standard...hao walio soma kama Lissu wanaongozwa na mbowe Teja billicanas wanamsahada ganj kwa taifa zaidi ya majungu tu?,awe bashite awemakonda kama mnaushahidi mpelekeni mahakamani.
 
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.

JUA UKWELI UNAUMA, AU WANASEMA MKUKI KWA NGURUWE. HUYU BASHITE NA KUJIFANYA KUKIMBILA MAKANISA YOTE NA MISIKITI ANA MATATIZO SANA MUNGU HADHIHAKIWI, ANAFANYA UONEVU KISINGIZIO NIMTUME WA MUNGU. KWANINI ASIFANYE MAZURI BILA KUJERUHI MIOYO YA WENGINE KAMA KWELI NI MTUME WA MUNGU?

KIJANA ACHA KUJIPENDEKEZA AISEE, HUYU BASHITE KISHAPOTEZA MUELEKEO
 
97eb43ff027bf712995985d007babef8.jpg
familia ya Bashite
 
Rc Makonda ndiye mteule pekee wa Rais JPM anayefanya kazi na kuwatumikia wananchi

Siku za nyuma niliandika waraka wangu kuonesha kwamba Makonda anastahili nafasi ya juu kabisa ya kuwatumikia watanzania wote na sio Dsm pekee
Makonda anastahili cheo cha juu kabisa kwa sasa

Makonda aliahidi kujenga viwanja vitatu vya mchezo wa soka mkoani DSm
Leo hii balozi wa china akiambatana na mkuu huyu wa mkoa wameweka jiwe la msingi la kuanza ujenzi wa uwanja wa bandari kwa gharama ya dola 450,000/=

Na pia balozi huyu ameahidi kujenga viwanja vingine ndani ya mkoa wa dsm baada ya uwanja wa bandari kukamilika na pia kuwapatia ajira vijana zaidi ya ya 24,000 wa kitanzania katika makampuni ya kichina yanayotegemea kuanza kazi hivi karibuni
Huyu ndio aina ya kiongozi anayetakiwa hapa Tanzania
Makonda ni mfano tosha kwa sasa
Hivi kweli ni bora tuwe na maprofesa wenye vyeti lukuki lakini wasiwe na utendaji kazi kama huyu kijana?
Hivi tumkose makonda kisa hao wauza unga?
Nani anaitaji cheti cha makonda zaidi ya utendaji kazi wake?

Tunawaona wawakilishi wetu wasomi wakiwa bungeni kazi wanazofanya na sheria wanazopitisha
Majimbo yote yenye wabunge wasomi yana hali mbaya sana ya maendeleo
Wakishachaguliwa wanaamia mbezi na masaki majimboni adi kampeni zikikaribia

OMBI LANGU KWA MH RAIS

Makonda tunamuitaji sana sisi wanyonge kuliko wasomi wengine
Wasomi hawa ndio waliokuwepo kwenye escrow, richmond na Epa
Mikataba yote mibovu hapa nchini ilisimamiwa na wasomi

NDIMI
RAPHAEL LUKINDO

Duh Moderator si bora mngeunganisha uzi wa huyu kwenye topic ya leo ya Mh. Makonda na Balozi wa China.

Mnashangazaga sana wakati mwingine, bora kuacha nyuzi zenyewe wakati mwingine.
 
Siku zote Gwajima ni muongo na ndiyo maana anatumia nguvu za giza kupata misukule aliyonayo.Akijamba, utasikia misukule yake ikisema, hilo ni gesi takatifu...ahsante Baba mtakatifu Gwajima na dhambi zetu zimetoweka kwa kujambiwa na wewe.
Wewe ongea tu ila mwisho sisi tunataka vyeti original, na bunge likianza patamu, utajificha bashite wewe
 
oya wana achenu uchochezi mtumie akili sio natope nyie lengo lenu au mnapenda watu wapoteze mda
 
Utata wa Daudi uko mtandaoni tu! Huko kijijini kwao wanajua vizuri tu Daudi na bwana yule wanahusianaje! Ukiwaita wanakijiji waliosoma naye bwana yule wamtambue Daudi mahakamani inaweza kuwa kioja! Necta pia wana picha ya Daudi aliyotumia kwenye usajili, Pamba Sekondari wana Paswa kuwa na picha ya Daudi kwenye faili lake! Kufunika kombe ni vigumu sana! Dawa nzuri kwake ni hii aliyoichukua ya kuwa kimya! Ili maadam mwajiri wake haimsumbui (haelekei kuwa na haja hata ya kuhakiki) hakuna tatizo labda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Double standard katika ubora wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu umenifurahisha hapo tu mwajiri wake haimsumbui jamaa kufoji
 
Tatizo siyo failure maana kufeli siyo jinai! Tatizo huyo bwana anasemekana anatumia cheti ambacho siyo chake! Na ameshindwa kujinasua kwa kuweka taarifa zake za SHULE tangu primary na vyeti hadharani ili kuweka kumbukumbu sawa!

Kama ni kweli, tumsubiri Mh. rais atamtumbua.
 
Anaeza akatengeneza vyeti vya jina Paul au akamuonga mhusika origina apewe vyeti vyake vyote, wkt sisi tunataka evidence ya jina lake halisi la Daudi aprove kuwa si lake na Paulo ndio lake. Alete cheti cha kuzaliwa, ubatizo, kipaimara, komunyo, la 7, form 4,
Chuo alishakuwa paulo
Na mafaili ya sekondari aliposoma atayachoma?
 
Back
Top Bottom