Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

The highest level of plagiarism is to use some one's certificates and present yourself as if you are the owner of the certificates. Ukibainika sifa zote ulizopewa na ngazi zote ulizofika kwa kutumia cheti kisicho chako kama ngazi ya kupandia zinakuwa batili hata kama ni PhD!
Mishahara yote na posho zote ulizowahi kulipwa zinahesabika ulizipata kwa njia ya udanganyifu hivyo kutakiwa kuzirudisha na kifungo juu!!!!
Ukiona Bwana yule kakaa kimya usifikiri mchezo!!! Anasubiri tu come what may! Haogopi kupoteza cheo chake, anaogopa jinai na implications zake!
 
Hawezi thubutu!!
Make Gwajima atasimamia msimamo na ushahidi anao. BASHITE ata takiwa kukanusha kwa ushahidi ambao Hana.

NABOREKA SN nilivyokuwa naamushwa na Maza saa 12 alfajiri nduki shuleee.
Mbu wooote walio ning'ata pale MUSOMA TECH.
Afu leo mjinga mmoja amefoji vyeti.
 
Masikini Daudiiiiiiiii!!!!!!! Daudi anawaona nyieeeeeeeeeee haya (Yaani hapo alipo anatamani Jumapili isingekuwepo kwenye hesabu za kalenda) kwa sababu kila jumapili kituuuu!!!!!! kituuuuuuu!!!!!!! hivi si vya machozi ni vya pilipili kabisaaaaaa
Daudi anatumika pia kama kiki ya kuongeza washirika! Ukifika utasikia ya Daudi kisha utasikia na Neno pia! Na Neno huwa halishuki bure! Lazima litimize makusudi yake ya kuonya, kujenga, kufariji na kuokoa!
 
HUU NI WEMBE HUKATA KOTE KOTE.SULUHU ATOE CHETI

Anaeza akatengeneza vyeti vya jina Paul au akamuonga mhusika origina apewe vyeti vyake vyote, wkt sisi tunataka evidence ya jina lake halisi la Daudi aprove kuwa si lake na Paulo ndio lake. Alete cheti cha kuzaliwa, ubatizo, kipaimara, komunyo, la 7, form 4,
Chuo alishakuwa paulo
 
Haitokaa itokee, na wala msimdanganye afanye hvyo
 
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
AWEKE VYETI NDIPO AFUNGUE KESI
 
WE USIMCHUZE HUYU DOGO..
unadhani ushauri wako ndio wa maana kuliko ushauri aliopewa na SIZONJE? apige kimya tu hakuna kuongea na mtu vyeti vinaandaliwa vipyaa we tuliza makalio yako hapo
 
Kwa jinsi ulivyo ukimya wa viongozi husika mimi naamini vyeti vya
Bashite vinatengenezwa necta siku ya siku mtakuta anaibuka na vyeti vyote kuanzia la saba mpaka chuo bellive me. Hii ni tz mtaniambia. We jiulize kwa nini sizonje yupo kimya? Wana jf mtaniambia
 
upload_2017-3-3_22-12-5.png

Madaftari alikuwa anaandikia verse.

Kighetogheto by Juma Nature
 
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
Je amethibitisha kuwa amesingiziwa mpaka amshtaki? Kesi huwa hazifunguliwi hovyo hovyo kama unavyofikiri wewe.
 
Rc Makonda ndiye mteule pekee wa Rais JPM anayefanya kazi na kuwatumikia wananchi

Siku za nyuma niliandika waraka wangu kuonesha kwamba Makonda anastahili nafasi ya juu kabisa ya kuwatumikia watanzania wote na sio Dsm pekee
Makonda anastahili cheo cha juu kabisa kwa sasa

Makonda aliahidi kujenga viwanja vitatu vya mchezo wa soka mkoani DSm
Leo hii balozi wa china akiambatana na mkuu huyu wa mkoa wameweka jiwe la msingi la kuanza ujenzi wa uwanja wa bandari kwa gharama ya dola 450,000/=

Na pia balozi huyu ameahidi kujenga viwanja vingine ndani ya mkoa wa dsm baada ya uwanja wa bandari kukamilika na pia kuwapatia ajira vijana zaidi ya ya 24,000 wa kitanzania katika makampuni ya kichina yanayotegemea kuanza kazi hivi karibuni
Huyu ndio aina ya kiongozi anayetakiwa hapa Tanzania
Makonda ni mfano tosha kwa sasa
Hivi kweli ni bora tuwe na maprofesa wenye vyeti lukuki lakini wasiwe na utendaji kazi kama huyu kijana?
Hivi tumkose makonda kisa hao wauza unga?
Nani anaitaji cheti cha makonda zaidi ya utendaji kazi wake?

Tunawaona wawakilishi wetu wasomi wakiwa bungeni kazi wanazofanya na sheria wanazopitisha
Majimbo yote yenye wabunge wasomi yana hali mbaya sana ya maendeleo
Wakishachaguliwa wanaamia mbezi na masaki majimboni adi kampeni zikikaribia

OMBI LANGU KWA MH RAIS

Makonda tunamuitaji sana sisi wanyonge kuliko wasomi wengine
Wasomi hawa ndio waliokuwepo kwenye escrow, richmond na Epa
Mikataba yote mibovu hapa nchini ilisimamiwa na wasomi

NDIMI
RAPHAEL LUKINDO
 
Nyie ndo mbazidi kumwanika huyu ndugu. Saa ingine ukimya ni tiba tosha.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
Huu Ushauri wako Haufai kabisa, Sheria Ipo wazi ifuatwe tu
 
Anaeza akatengeneza vyeti vya jina Paul au akamuonga mhusika origina apewe vyeti vyake vyote, wkt sisi tunataka evidence ya jina lake halisi la Daudi aprove kuwa si lake na Paulo ndio lake. Alete cheti cha kuzaliwa, ubatizo, kipaimara, komunyo, la 7, form 4,
Chuo alishakuwa paulo
Na cha kitubio mkuu
 
Back
Top Bottom