mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Childish ! ! for kindergarten.
Endelea tu kuwa msukule wake, utakuja kunikumbuka baada ya ukweli dhidi ya Gwajima kujulikana. Usipende kubisha ama kupinga kitu usichokijuwa.
Childish ! ! for kindergarten.
Mm simtetei yeyote hapo. Kama gwajima anauza sembe ahukumiwe kwa sembe, kama ya bashite ni ya kweli anatumia vyeti vya mtu mwingine aondoke kwenye uongozi! Ww najua unatoka povu kumtetea bashite kwa interest zakoYaaani hata bora usingetoa mfano huu....unaonekana kabisa kuwa wewe bado una-download kichwani. Ungesubiri kwanza mpaka uwe fully loaded ndipo ujibu.