Mhe. Komba na kibao wa Uhuru

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,130
918
Mhe.J.K (Komba) ndani ya TOT na kibao cha miaka 50 ya uhuru ni burudabni tosha..presha inapanda, presha inashuka!.

KibwagizO: " tazama, mabarabara, Jakaya, Kwenye Kilimo, Mrisho, nayo Madini, Kiwete mwenye macho aambiwi tazama!!" .


 

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
1,501
Mzee kachoka,hamna kitu kwenye hiyo track...zee shobokaji tu lile.....anatetea kitambi tu ,ni hard kuki-feed aisee...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom