Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 927
- 4,355
Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha msimamo wa Tundu Lisu ni msimamo wa Jaji Warioba.
Matamshi anayotoa Warioba ndiyo anayotoa Tundu Lisu; vifungu vya katiba ya Zanzibar anavyotumia Lisu ndivyo anavyotumia Warioba. Ulinganisho anaofanya Lisu katika katiba hizi mbili ya Zanzibar na Muungano ndio anaofanya Warioba.
Katika spirit ile ile ya unafiki unashangaa akisema Warioba wana CCM wanakaa kimya ila akisema maeneo yale yale Lisu wana CCM wanasema anapotosha. Lakini pia katika watu wote waliojitokeza kusema hakuna aliyeweza kusoma hata Ibara moja ya Katiba akisema hii Lisu na Warioba wanapotosha na waeleze ukweli ni upi.
Kukosekana kwa wasoma katiba ndani ya CCM ndiko kumepelekea kila wanalosema linazua matusi na kejeli waonekane kama wasiosoma. Maneno haya ya Lisu kuhusu katiba na Muungano aliyasema pia Kabu