Pakawapakawa
Senior Member
- Nov 19, 2012
- 110
- 20
Wapendwa wanasheria,
Je bado ni halali Mhe. Hamad Rashid kundelea kuwa Bungeni. Mwanzoni pamoja na CUF kutomtambua ilikuwa sawa kwa kufuatia amri ya Mahakama ambayo hakuwa na uwezo wa kufikia mwisho wa shauri hili hata kama Bunge lingekuwa linaendeleaa kwa miaka 10 zaidi.
Hata hivyo baada ya yeye kutangaza kugombea Urais wa ZNZ kupitia ADC nadhani ulikuwa mwisho wa kuingia Bungeni.
Isitoshe tayari amechukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Mbadala. Pamoja na kwa kwa kesho ni mwisho wa Bunge,
Je kisheria hii imekaaje?.