THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,357
- 12,849
Katika ile hali ambayo ilitarajiwa na wengi,leo katika kipindi cha jion bungeni,Mh engineer Habibu Mnyaa(mb)amelifumua tena suala la gesi na kutoa hoja ya kuelezea kiini cha mgogoro wa gesi ambao wana kusini wanausimamia ya kwamba ni hoja zenye mashiko ambazo serikali imekua inazipiga dan dana kwa miaka mingi.
Alichokifanya waziri mkuu Pinda ni kuipindua hoja ile na kuweka ulazimishaji wa vipaumbele vya serikali..
Huku waziri mkuu akisisitiza kuwa mpango wa kujenga bomba upo pale pale,upande mwingine hapo hapo bungeni wanampinga..
Tutaona mwisho wake tuh..