Serikali kupitia upya Mikataba ya Gesi Asili

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
815
Reaction score
733
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, amesema ofisi yake bado inaendelea na mchakato wa kuipitia upya mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gesi, na kwamba wamegundua matatizo mbalimbali hadi sasa.

Alitoa kauli hiyo bungeni tarehe 29.05.2019 wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2019/20, akijibu hoja ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia (CCM), ambaye wakati akichangia alimtaka kueleza suala la utoaji wa leseni kwa ajili ya kutafuta gesi.

“Nikuombe chonde chonde kwa kimakonde, kwanini hivi vibali vinachukua muda mrefu, tukuombe hayo majadiliano yakamilike ili vibali vitolewe, tangu Kalemani (Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani) umeingia haujatoa leseni hata moja, Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu upo, naomba hili mnijibu,” alisema Ghasia.

Akimjibu, Profesa Kilangi alisema jambo hilo liliundiwa kamati na bado inaendelea kufuatilia upya mikataba hiyo ya gesi.

“Kama unafahamu Mheshimiwa Spika uliunda kamati ya kuangalia sekta ndogo, kamati ile ilikuja na taarifa yake na mapendekezo yako, mojawapo ya mapendekezo hayo ni kurejea hii mikataba ya gesi, kazi hiyo ikapewa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ni kweli anaishughulikia.

“Tulianza kazi na zoezi la kuipitia na kuunda timu na tulipata wataalamu kutoka sekta mbalimbali, lakini ilitulazimu kwanza kuwajengea uwezo. Baada ya zoezi hilo lilifuata la kuipitia mikataba na hii timu imekaa kwa zaidi ya miezi miwli na imepitia mikataba yote 11.

“Tuligundua kwamba kuna kitu ambacho ni muhimu kukiangalia ‘Economic Financial Modeling’, hapo ni muhimu, hivyo tukaweka timu kwa mwezi mmoja, walichokifanya ilikuwa ni kuangalia ‘Economic Financial Modeling’, wakaona ni bora tuangalie kama nchi, sasa hilo zoezi la tatu timu hiyo inakutana tena tarehe 6 mwezi wa sita na itamaliza tarehe 25 mwezi wa sita,” alisema.

Profesa Kilangi alisema zoezi hilo limewasaidia kujua matatizo mengi ambayo yapo katika mikataba hiyo.

“Zoezi hili limetufanya tuelewe matatizo mengi, kikubwa kabisa litatufahamisha mambo mengi,” alisema.
 
Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
 
Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii
 
Ni wazi hakuna majibu kwa sababu hawaelewi wanafanya nini.
Pili anakiri kwamba walianzia kuwajengea uwezo wa hao wajumbe.ni wazi sio wabobezi Bali ni kama wanafunzi with zero experience na ndio maana hawana maamuzi yenye tija.
Kwanini msikubali kuwa hamjui mfanyalo ?kwanini tunacheza na akili za watu?
Tulishasema huko nyuma tujifunze kutokana na makosa au mafanikio ya nchi zilizoanza biashara ya utafutaji ,uchimbaji,usambazaji,na usimamizi wa nishati hii.
Lakini tunazidi kuvurugana na hizo kauli mbiu utafikiri tunakimbiza mwenge.
 
Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
Inatia uchungu
 
Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii
Ni uzuzu kusubiria embe dodo kwenye mchongoma,hawa watu wanafanana,wanaishi na kula pamoja,wapo kwenye kichaka kimoja na wanatumia sera hizo then wewe unategemea jipya? sana sana atapiga mkwala kujiba soo huku akichimba kaburi lake pia ambalo mwana ccm anafata kwenye ofisi ile itabidi alilinde?au wewe unaposikia wanasema ccm itatawala milele huwa unaelewa nini?
 
Hivi hawa wabunge hawaoni aibu? Simba chawene na genge lako mnatakiwa kwenda mahakamani. Lazima mna kesi ya kujibu. Wapinzani Mungu awabariki. History itawakumbuka na kuwaenzi. Nakumbuka mlivyopinga kitendo cha kupitisha miswada hii kwa hati ya dharura...
 
Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
Zile sheria ni nzuri mno kama unauelewa wa maswala ya uwekezaji wa resource na elements za mikataba watanzania ni watu wa kuponda na kutetea kitu wasichoelewa na kama wana akili timamu wamtafute Prof Muhongo popote alipo kwa maswala ya ushauri kama taifa we cant ignore an adept kwenye maswala ya uwekezaji wa resources na experience ya kazi wakati hao watu tunaowapa hiyo kazi ya kupitia changamoto ndio kwanza wametoka kuongezewa uwezo (amateurs).
 
Hebu sheria ya mbunge kujua kusoma na kuandika itolewe. Atleast mbunge awe na degree kidogo mambo ya ndio yatapungua
Hivi degree za kisiasa za bongo unazijua wewe. Awamu ya nne na tatu hivi wanao mkataba wanaweza kusema hauna mizizi ya mangungo kweli
 
Watu mnasahau kwamba haya mambo ya gas yalitungiwa hadi sheria,maongezi yanayoendelea ni maongezi ya kawaida kuweka mambo madogo madogo sawa na kufikia makubaliano ya mwisho kabla wawekezaji hawajajikommit kuweka pesa zao
 
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, amesema ofisi yake bado inaendelea na mchakato wa kuipitia upya mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gesi, na kwamba wamegundua matatizo mbalimbali hadi sasa.

Alitoa kauli hiyo bungeni tarehe 29.05.2019 wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2019/20, akijibu hoja ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia (CCM), ambaye wakati akichangia alimtaka kueleza suala la utoaji wa leseni kwa ajili ya kutafuta gesi.

“Nikuombe chonde chonde kwa kimakonde, kwanini hivi vibali vinachukua muda mrefu, tukuombe hayo majadiliano yakamilike ili vibali vitolewe, tangu Kalemani (Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani) umeingia haujatoa leseni hata moja, Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu upo, naomba hili mnijibu,” alisema Ghasia.

Akimjibu, Profesa Kilangi alisema jambo hilo liliundiwa kamati na bado inaendelea kufuatilia upya mikataba hiyo ya gesi.

“Kama unafahamu Mheshimiwa Spika uliunda kamati ya kuangalia sekta ndogo, kamati ile ilikuja na taarifa yake na mapendekezo yako, mojawapo ya mapendekezo hayo ni kurejea hii mikataba ya gesi, kazi hiyo ikapewa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ni kweli anaishughulikia.

“Tulianza kazi na zoezi la kuipitia na kuunda timu na tulipata wataalamu kutoka sekta mbalimbali, lakini ilitulazimu kwanza kuwajengea uwezo. Baada ya zoezi hilo lilifuata la kuipitia mikataba na hii timu imekaa kwa zaidi ya miezi miwli na imepitia mikataba yote 11.

“Tuligundua kwamba kuna kitu ambacho ni muhimu kukiangalia ‘Economic Financial Modeling’, hapo ni muhimu, hivyo tukaweka timu kwa mwezi mmoja, walichokifanya ilikuwa ni kuangalia ‘Economic Financial Modeling’, wakaona ni bora tuangalie kama nchi, sasa hilo zoezi la tatu timu hiyo inakutana tena tarehe 6 mwezi wa sita na itamaliza tarehe 25 mwezi wa sita,” alisema.

Profesa Kilangi alisema zoezi hilo limewasaidia kujua matatizo mengi ambayo yapo katika mikataba hiyo.

“Zoezi hili limetufanya tuelewe matatizo mengi, kikubwa kabisa litatufahamisha mambo mengi,” alisema.
Wachina wakijuwa una cha samani kwao.watakupa utakacho ila ndo hivyo tena mikataba yao siku ya siku lazima wao watapata wakitakacho....bandari yako ipo nchini kwako inakuwa yaoo!!! mgodi au barabara yenye road toll inakuwa yao😁😁😁Bado Daraja la Kigamboni ipo siku vijana toka Ghounzhou ndo watakuwa wakata ticket🙄🙄🙄.
 
Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii

Muhimu haya mambo yakamilike kwa wakati muafaka. Yasichukue miongo kadhaa kukamilika. Tunahitaji sana maendeleo. Tukimbizane kwa speed
 
Watu mnasahau kwamba haya mambo ya gas yalitungiwa hadi sheria,maongezi yanayoendelea ni maongezi ya kawaida kuweka mambo madogo madogo sawa na kufikia makubaliano ya mwisho kabla wawekezaji hawajajikommit kuweka pesa zao
Ningeweza hii Serikali iliyopo Leo ije iwepo ata kwa miaka 100🙏🙏🥃🥃🥃.maana tayari tulikuwa tumeuzwa kwa wachina for 285 years..
 
Wakati wabunge wa ccm wanapitisha mswada huko kwa mbwembwe nyinyi huku wanagonga meza wsmesahau ? ujuha ni kitu kibaya sana unaangalia hapa badala ya kule .
 
Back
Top Bottom