naipenda familia yenu ina upendo sana! hiv wale aunty na anko ni wapenzi kweli?
Wapenzi?! Nani kakwambia?
Wale ni mwili mmoja mdogo wangu!
Wale ni Mr & Mrs.
Ndo manake...ulidhani ankalna auntie wanaigiza? GM for parliament 2015!
Angaria wee kabinti, hiro rijamaa rimeahidi kuoga bira nguo kwa ajiri yako, sasa ritahitaji ukariogeshe ww bira nguo. Sawasawa?
Nissan Duet ya Jan. mwaka 2012!!gari yako aina gani?
Nakusalim Mh. Mwambie huyo kijana, ni kama kajisahau anaongea usingizini.
ajenda kuu ilikuwa ni mimi kuoga uchi endapo GM angekuwa mjumbe wa mjengo wa JMT.
Katikati ya mada ikajitokeza ajenda ndogo ya mimi kuwa Baba Mbunge endapo GM atakwaa kiti, nikipata upinzani mkubwa toka kwa Rejao ambaye so far hata mahitaji yake hayajui.
Uzuri familia ikiwa kubwa hakuna kinacho haribika hata kama you are not there! Golden Mpolee my niece karibu saana kwetu...
mpoleee unanisaliti mimi niliekukaribisha hapa hadi umekuwa mbunge mtarajiwa?gari yako aina gani?
kachaso ndo nini? bia mpya ya kwenu burundi au?umeacha kunywa kachaso?
kweli hii lugha kama si ya kikubwa basi ni ya kitoto maana najaribu kuelewa sielewi hoja ya mwanzisha thread. Mpolee ni nani? Nini cv yake? Nini umuhimu wake kwenye jamii? Ana connections na wakubwa waliotajwa au? Hebu tusaidieni jamani tuliokimbia umande...si mlitukubali wenyewe kwenye forum hii?
mpoleee unanisaliti mimi niliekukaribisha hapa hadi umekuwa mbunge mtarajiwa?
sio siyawezi,kupigishana nae kelele sitaki bebi,Mxuliyataka nilisema huyawezi baby.
sio siyawezi,kupigishana nae kelele sitaki bebi,Mx
kwanza yule alitaka ni mjibu ajisifu,kwa hiyo sitaki bebi,Mxmbon alikua hapigi kelele baby?
kwanza yule alitaka ni mjibu ajisifu,kwa hiyo sitaki bebi,Mx
hiyo ni janja ya sungura baby.