MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Kumbe bado hujafanyiwa Welcoming Party Mdogo wangu?huyu nae mwanafamilia?
Ukoo wetu mkubwa!
Kumbe bado hujafanyiwa Welcoming Party Mdogo wangu?huyu nae mwanafamilia?
Kuna vigezo lazima avitimize...other wise akuache tu kwangu!!!
Kumbe bado hujafanyiwa Welcoming Party Mdogo wangu?
Ukoo wetu mkubwa!
naipenda familia yenu ina upendo sana! hiv wale aunty na anko ni wapenzi kweli?
Wale ni Mr & Mrs.naipenda familia yenu ina upendo sana! hiv wale aunty na anko ni wapenzi kweli?
naipenda familia yenu ina upendo sana! hiv wale aunty na anko ni wapenzi kweli?
Wapenzi?! Nani kakwambia?
Wale ni mwili mmoja mdogo wangu!
Wapenzi?! Nani kakwambia?
Wale ni mwili mmoja mdogo wangu!
Wale ni Mr & Mrs.
nilijua utan ndio maana kumbe wote wakali ukiwagusa. nataman niwajue.
Golden Mpoleeee, mbunge mtarajiwa mzuri na mpole. Longa jibaba unamuambia nn GM?
Ndo manake...ulidhani ankalna auntie wanaigiza? GM for parliament 2015!
Ndo maana tumekukaribisha kwen family. au kutujuaje GM?
Mh. GM habari za jioni mkuu..
nimevutiwa anko nawapa pongezi mnapendana sana. anko uniombe kura kwa familia nzima.