Mhe. Bashe tengua kauli...

Mhe. Bashe tengua kauli...

Kigodoro una uhakika nadhani. Form five huwa wanachukua div 1 and 2. Rarely div 3. Fanya homework kidogo. Angalia majina ya wanaokwend ualimu na tafuta pass zao NECTA (siku hizi wanaweka namba, tafuta ya zamani before Exam number system) utauona ukweli. Shule za binafsi wanafuatilia matokeo ya form 4 na six, kama div 4 hawakuajili!
Mkuu sidhani km uko sahihi,nadhani mtoa mada ana hoja ingawa pia km angepata muda wa kuisikiliza ile hotuba nadhani asingemuomba afute kauli. Bashe alikuwa analenga kubadili mfumo mzima wa elimu yetu.

Hoja kwamba waalimu waliofeli mitihani ya ordinary level na advanced wanaangusha elimu yetu,nadhani ni uvivu tu wa kusoma historia. Huko nyuma mbona waliokuwa wanafeli darasa la saba ndo walipelekwa ualimu na ndo walitufundisha sisi. Ukiboresha sekta ya elimu ukawalipa waalimu vizuri,kila mtu atatamani kuwa mwalimu. Kwa sasa ualimu ni option ya mwisho kabisaa kwa msomi yeyote. Anachagua ualimu au kwenda police baada ya kushindikana maeneo mengine.

Sisi tumefundishwa vizuri kabisa na waalimu waliokuwa wanaitwa wa-UPE. Hawa ni darasa la saba waliofeli lkn walipatiwa na mafunzo ya ualimu na wakaipenda kazi yao.
 
Sekta zingine- Take note hata jeshini wanakwenda waliofeli (sijui siku hizi). Lakini jeshini wana utaratibu wa kuingia kule siyo free kama kwa walimu. Hivyo attention ya jamii haiko huko kwa vile hakuna direct impact kwa mtu wa kawaida. Pili umuhimu wa sekta yenyewe. Huu ni uhai wa taifa kwa kila nyanja even at individual level. Mzazi anataka mtot wake aelimike apate kazi nzuri. Shule za kata wote (???) wanafeli! Lazima watu wapige kelele!

Kwa hiyo maana yako ni kuhalalisha failure jeshini na kuharamisha failure elimu
 
Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Hivi huyo mwanafunzi aliepata one na two na hakwenda kwenye ualimu alifundishwa na nani akapata hiyo one au two
 
mkuu usikariri vibaya. sio kila mwenye division one lazima aende form five. amka.
Nadra aisee, nilipo maliza kidato cha 4 walio pata div 1 na 2 na wachache sana div 3 walienda kidato cha 5 ila the lest na div 4 walienda ualimu, jwtz na polisi ikiwa pamoja na Mimi
 
Hamjamuelewa Bashe, makers mada katunga yake na ndiyo inayojadiliwa. Tuleteeni video yenye kauli yake ili tuichangie.
 
Huna hoja kaa chini....mpeni mamlaka ya kukagua vyeti vya walimu muone madudu ya waajiri.
 
Mdogo wangu ni mwalimu alipata div.2 kidato cha 4 akaenda cha 5 na 6 akapata div.1 akaenda kusoma uwalimu na leo ana masters ya linguistics na serikali bado haijampandisha mshahara huu mwaka wa 3 hatari sana .
 
Ata Rais wetu nae alifeli
Ata waziri mkuu nae alifeli
Ata Makamu wa Rais nae alifeli
Ata Nyerere nae alifeli......
Inshort Watanzania wote Tumefeli maana tumefika apa tulipo kwasababu Tulifundishwa na walimu waliofeli .
Hivi Somalia Hawajafeli Km Taifa?
 
Iyo kauli ipo sahii kabisa na hkuna hja ya kuitengua. Walimu wa TZ ni wale waliopata grades za mwisho mwisho. Hili swala halina ubish kabiza. Walimu wa bongo ni dvn 3 n 4 ambao wanaenda kufundisha wanafunzi et wapate dvn 1.
 
Mdogo wangu ni mwalimu alipata div.2 kidato cha 4 akaenda cha 5 na 6 akapata div.1 akaenda kusoma uwalimu na leo ana masters ya linguistics na serikali bado haijampandisha mshahara huu mwaka wa 3 hatari sana .
Kwa masomo ya arts alilenga kuwa lingiustics ingelimpa ujiko wa Ajila.
 
Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
mwaka wetu one mpaka three tena grade A, wengi ndio maafisa elimu wa mikoa wilaya sasa
 
Kwa hiyo maana yako ni kuhalalisha failure jeshini na kuharamisha failure elimu
Yes jeshini kama ni infantry na siyo logistics, huitaji div 1. Jeshini walitwambia akili acha mlangoni, huko ni nguvu basi! Labda kama hukwenda jeshini! Nakumbuka afande Chacha alikuwa anasema msituletee form six yenu hapa. Tunataka nguvu!
 
Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Wapo! Labda kama wa miaka hii. Ila enzi zile za Mlimani peke yake walikuwepo....Ila kusema ukweli NI WACHACHE!
 
Back
Top Bottom