Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Ndugu Mhariri,habari ya sababu za Raisi Magufuli kuivunja bodi ya TRA mmeaindika kwa ukamilifu?
Mbona habari hii inaacha maswali mengi kuliko majibu?
Raisi hajaeleza mazingira ya kufunguliwa kwa account hiyo?
Mmeiripoti yote kama ilivyo?
Tunasoma huku mitandaoni kuwa wajumbe wengine wa bodi hiyo ni pampja na Gavana,Kamishina wa TRA,Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha Zanzibar.
Ndugu Mhariri,ina maana Raisi hajaeleza sababu za kuwaacha hawa wajumbe wengine?
Tunaomba mtuwekee clip maana maswali ni mengi mno na kama Raisi hakufafanua basi anakaribisha maswali mengi na kwakweli hatumuelewi