Mhariri wa gazeti la Mwananchi online habari hii umeiandika kwa ukamilifu?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,981
144,283
Ndugu Mhariri,habari ya sababu za Raisi Magufuli kuivunja bodi ya TRA mmeaindika kwa ukamilifu?

Mbona habari hii inaacha maswali mengi kuliko majibu?

Raisi hajaeleza mazingira ya kufunguliwa kwa account hiyo?

Mmeiripoti yote kama ilivyo?

Tunasoma huku mitandaoni kuwa wajumbe wengine wa bodi hiyo ni pampja na Gavana,Kamishina wa TRA,Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha Zanzibar.

Ndugu Mhariri,ina maana Raisi hajaeleza sababu za kuwaacha hawa wajumbe wengine?

Tunaomba mtuwekee clip maana maswali ni mengi mno na kama Raisi hakufafanua basi anakaribisha maswali mengi na kwakweli hatumuelewi
 
Ndugu Mhariri,habari ya sababu za Raisi Magufuli kuivunja bodi ya TRA mmeaindika kwa ukamilifu?

Mbona habari hii inaacha maswali mengi kuliko majibu?

Mmeiripoti yote kama ilivyo?

Tunasoma huku mitandaoni kuwa wajumbe wengine wa bodi hiyo ni pampja na Gavana,Kamishina wa TRA,Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha Zanzibar.

Ndugu Mhariri,ina maana Raisi hajaeleza sababu za kuwaacha hawa wajumbe wengine?

Tunaomba mtuwekee clip maana maswali ni mengi mno.
Hawa Wajumbe ulio wataja wanaingia kwa vyeo vyao kwahiyo kuwaondoa inabidi watenguliwe kule kwenye vyeo vyao.
 
Ukivunja bodi hakuna anayebaki. Wrong reporting. Angesema Rais afanya mabadiriko katika wajumbe wa bodi
 
Back
Top Bottom