Mhandos na TBC1

QUOTE =Amosam;505635]Du hapa kwenye rangi nyekundu mzee umechapia,Suzan Mungy(Mongi) hata Maulid Kitenge hujui kama katokea Tabora?Baba yake anaitwa Baraka Kitenge mchezaji wa zamani wa vijana wa Jangwani.

Suzan Mungy ni mtu wa Tanga ila ameolewa na mtu mwenye hilo jina la Mungi.
 
Naomba kufahamishwa kama wananyakazi hawa wa TBC ni ukoo mmoja na kwanini wote wawepo kwenye taasisi moja?

1. Tiddo Mhando
2. Evans Mhando
3. Neema Mhando
4. Rehema Mhando
Ukienda TRA utakutana na kina Mrema 20,Mushi 40 n.k waache Mhando wafanye kazi anza na TRA au Hazina.
 

aboubakar Sadik Mhina (radio One)
 
Ukienda TRA utakutana na kina Mrema 20,Mushi 40 n.k waache Mhando wafanye kazi anza na TRA au Hazina.

hehehe nimeipenda hii na hawa sio ndugu ni majina tu yanafanana.
 

aboubakar Sadik Mhina (radio One)
 
Uncle J ni Mkurya, watangazaji Wasukuma wazuri tuu walikuwepo, zaidi ya Bujaga Izengo Kadago, yupo Malima Ndelema, Sebastian Maganga, Sebastian Ndege, Hanna Mayige, Aloysia Maneno, Pascal Mayalla etc

Pia kuna Chacha Maginga(Mkurya), Roy Maganga(msukuma), Paul James Sweya-mpiga chabo!(msukuma).
 
Naomba kufahamishwa kama wananyakazi hawa wa TBC ni ukoo mmoja na kwanini wote wawepo kwenye taasisi moja?

1. Tiddo Mhando
2. Evans Mhando
3. Neema Mhando
4. Rehema Mhando

Akina mhando ni wengi sana, na hapo wengine labda wamechukua majina ya waume zao. kuna koo nyingine ni kubwa sana kama sanga(tarafa nzima) nk
 
kwenye list ya Tanga line umemsahau......Deodatus Balile
Balile ni mtu wa Bukoba. ila wahaya nao kwenye magazeti wamekama jee nao ni watu wa Pwani?Lady jay dee anaimba ana ametoka Musoma.
 

KIHAMPA.MSAMI hakuna kitu kabisa hata kiswahili hawajui,Unamkumbuka DOMINIC CHILAMBO toka Mwanza alivyokuwa akiweka vitu,
marehemu AMINA CHIFUPA ANATOKA MAKETE -IRINGA.alikuwa akitangaza vizuri kushinda NEEMA MHANDO.
Frola Nducha ni mnyamwezi lakini ana uwezo kushinda SUZAN LUKINDO-MUNGI.

kutoka MUHEZA sio kigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…