Palestina na Iraq wapi na wapi? Ukilaumu suala la Palestina ni sawa lakini si haki kucompare!!! Kule middle east mbona both sides zina makosa? Yale mahandaki hukuyaona? Na hizo rockets je? Israel also is to blame. Numerous children and innocent civilians have been butchered. Lakini Hamas ndio wanaanza na Israel wanaretaliate vibaya. Both side are to blame in middle east!!! Sasa Iraq ni hao magaidi tu wanatesa minorities. Sasa wameteka wasichana kibao wa kabila la Yazidi! Ni haki hii? Hawafai kabisa na huyo mhadhiri hakujibu maswali kalalamika tu. I think he was not objective.
Ndugu zangu, hebu
tujaribu kubadilika kidogo. Nadhani kuna tatizo kubwa sana nchini.
1. Kushindwa kuelewa maana
2. Kushindwa katika muktadha ulikosudiwa
3. Kuangalia mambo kwa kicho la dini. Gonjwa baya sana hili.
Mleta mada kaangalia mahojiano na kuona mambo mawili, ukristo na Uislam.
Kakokotoa maneno yake na kuondoa mada halisi iliyojadiliwa. Huu ni
ugonjwa mbaya sana wa kushindwa kufanya analysis ya mambo kama watu
huru.
Niseme hizi dini zinazidi kupumbaza watu badala ya kuwajenga. Niwieni
radhi mtakaokereka na mtazamo huo.
Siasa za mashariki ya kati haziangaliwi kwa jicho jepesi. Kwa maoni
yangu, alichopinga Bushiri Ali ni kitendo cha Marekani kuwatumia Yazidu
kuficha matatizo waliyosababisha siku za nyuma.
ISIS wanaelekea Baghdad, kuna shinikizo ndani ya Marekani kuwa Trillion 2
na askari 5,000 wamepotea kwa jambo lisiloonekana kuwa na manufaa.
Walichokitaka Wamarekani ni udhibiti wa Iraq kwa sababu mbili, mafuta na
kulinda mshirika wao aliyetishiwa na Saddam, Israel.
Walichokitaka ni kuhakikisha hakuna mbabe mashariki ya kati
atakayetishia nchi rafiki kama Saudia na UAE.
Ndilo lengo la kumuondoa Saddam. Sasa ISIS wanaporudi na kutangaza
utawala wao, kwa Marekani ni sawa na kuruka hoja majivu ukanyage Moto.
Lakini, kuna challenge pia. Kurudi kwao Iraq kutawalizimu wainge maeneo
kama Syria Pia. Obama anataka nchi imalize vita eneo hilo, hivyo lazima
atafute sababu za kurudi Iraq ili kulinda masilahi yaliyowapeleka kwa
mara ya kwanza.
Njia rahisi ni kuwatumia Yazidu ambao sehemu kubwa ni Wakristo. Hawa
wame survive genocide zaidi ya 72 wakati Marekani haikuwepo. Ni kwa
kuwatumia, Marekani ikaingia na misaada halafu jana wakashusha kipigo
kwa ISIS waliokuwa wanaelekea Baghdad. Ni kutafuta sababu tu za
kuwaadhibu ISIS.
Marekani inaelewa kuwa kuacha ISIS itwae Iraq ni kuruhusu Syria ianguke
na nchi za mashariki ya kati. Kutakuwa na kibarua kigumu sana cha
ku-deal na ISIS ambao wamejinasibu wanataka dola moja mashariki ya kati.
Si kweli kuwa Marekani imekwenda kwasababu ya Wakristo. Laiti ingekuwa
hivyo, tungewaona Darful na kwingineko.
Kuna interest zao ambazo usipiziangalia kwa jicho zuri, unaishia katika
Uislama na Ukristo.
Hivyo Bushiri alikuwa anatoa analysis kwa maana ya kupinga ulaghai ni
sukupinga wale watu ksaidiwa.
Sidhani kama Bushiri haelewi Bosnia Herzegovina nchi za magahribi
zikiongozwa na Maekani zilifanya nini.
Hivyo, ningeomba watu wafungue akili zao na kuyaangalia mambo kwa
mtazamo mpana, kuziangalia hoja kama zilivyo na si kwa jicho la ukirsto
na Uisalam.Ugonjwa huu unaliumiza taifa sana.
Najiuliza angesema Bensona wa UDSM au John wa Mzumbe Unv, leo mleta mada
angekuwa na hoja gani.
Nashangaa uzi unaendelea tu kukiwa na habari mstari mmoja bila kufikiria
dhana halisi ya mzungumzaji.
Au habari hiyo ingesemwa na Prof Chembelecho tusiyejua ana dini gani,
mleta mada angesema nini.
Unapomuangalia mzungumzaji kwa jina na si kwa wasifu au sifa zake,
unajinyima nafasi ya kufikiri na kutojitendea haki.
Huu ugonjwa kuangalia majina ni mbaya sana, unapumbaza taifa unawaumbaza
vijana.
Leo mtu akiteuliwa, hakuna anayeangalia sifa, jicho ni jina na imani
yake.
Hatuwezi kujenga taifa tukiwa na kundi lisiloweza kuchambua mambo,
lisilokubali au kupinga hoja kwa hoja.
Mada nzima haizungumziwi kwa kwa kuunga mkono au kupinga hoja, ni udini
tu.
Elim yetu ina matatizo lakini hizi dini nazo zinasehemu yake katika
kupumbaza watu
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.

Mkuu Hute hata mimi nilimsikiliza nikashangaa sana,et kwanini U.S.A haikuingilia Gaza ilivyokuwa inapigwa mabom na Israel anawaingilia IS kwa kuwaua Wakristo,point ya America ni kuyalinda makundi madogo madogo ikiwapo hao Wakristo,amefunga macho kuona kwamba Gaza ilikuwa ni piga nikupige wakati Iraq ni watu wanafanya mauaji dhidi ya jamii dhaifu isiyoweza kujilinda,sitaki kuamini kwamba ni imani yake iliyomfanya atamke hayo ila kama ni wachambuzi bbc wamtoe kwenye list yao hana anachochambua.
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.
Kuwa muislam kuelemika kaz saana!
aKama ungaliwasikiliza vizuri Waisrael nadhani ungebadili mtazamo wako. Nilivyowasikiliza ni kuwa Wapalestina wanafanya watoto, wanawake na raia kuwa ngao yao (Shield) katika sehemu walizoweka silaha zao. Walionyesha silaha zilizopatikana katika shule ya UN. Wapestna kama wangewapenda watoto wao wasingewaweka sehemu hatarishi. Nia ya Israel ilikuwa ni kuharibu silaha na miundo mbinu inayotumika na Hamas kuwashambulia waisrael. Kama ningalikuwa mimi nisingaliwaweka watoto katika mazingira hatarishi ili kupata huruma ya walimwengu
Bashiru alikuwa anapinga tabia ya marekani kuwa na double standards na si lazima uwe na degree utambue hilo
Kwa wenzetu Waislamu hata kama mtu ni Professa udini uko palepale. Huyo Bashiru ni mdini mzuri tu. Wapo baadhi yao wanaelewa mambo lakini siyo Bashiru, ana mapenzi makubwa na dini yake mpaka imempofusha na usomi wake!Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.
Kwa kawaida Jambaz huwa ana nguvu na mbinu nyingi za kuvamia na kupora mali za watu na hata kuua! hivyo hao Marekan na Wayahud ni majambaz wakubwa dunian wa kuvamia na kupora mali za watu na kuua maelfu ya wanadam! ila mwisho wao unakuja wakumbuke enzi za Nabii Mussa kuna mfalme aliitwa Firaun huyu alikuwa na nguvu nyingi na hata uchawi mpaka akajiita mungu lkn mwisho wake mungu alimdhalilisha mbele ya hao aliokuwa akiwanyanyasa!
Kwahiyo jibu liko wazi awaendi kwasababu ni against Humanity wanakwenda kwasababu wana interest zao pale.Though wote tunajua mauaji na ugaidi vyote avifai kwa mtu yoyote.
Na ubalozi Israel ccm imefungua, so na uteuzi huu ngoma droo?Amini usiamini, makanisa yameua nchi hii kwa kutuletea Division one za kanisa ambazo zimewafanya weneyenazo kutotumia akili kabisaaaa! Sasa kama ww unamtetea Israel na mwenzako anawatetea hao "waislam" wa iraq, then tofauti zenu nyie nini?