Mhadhiri UDSM, Vicensia Shule: Wanafunzi wengi ninapofundisha hawajui kuoga

Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma
Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM
sisi wa kiume tunagonga nivea na spray ya casablanca io kunuka veepe
 
Ubinadamu ni kuheshimiana na kujua utu wa mtu,kama msomi hakupaswa kabisa kunena hayo
Tatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli, mimi nakubaliana naye kabisa yaani hawa mabinti wao wako bize na uso tuu lakini huko ndani utafikiri wameficha panya aliyekufa.
 
Nimezoom picha kuangalia vizuri nimeishia kuona nywele chafu zisizochanwa kama wale boda boda wenye Dread.
 
Back
Top Bottom