Mhadhiri UDSM, Vicensia Shule: Wanafunzi wengi ninapofundisha hawajui kuoga

Tatizo Wabongo hamtaki mtu awe na uhuru wa mawazo!

Kawafundisha yeye, na yeye ndio anawaona!

Kosa lake labda ni ku-generalize!
 
Hii ndo kauli aliyoitoa Dr. Vicensia Shule, mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM)
Screenshot_2019-08-17-22-22-27.jpeg
 
Hawajui kuoga au hawana mazoea/ hawataki kuoga/ kujiweka katika hali ya usafi? Mhadhiri mzima anashindwa kujenga hoja!
 
Back
Top Bottom