Mhadhiri UDSM, Vicensia Shule: Wanafunzi wengi ninapofundisha hawajui kuoga

HUYU
Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma

HUYUUU MDADA AJUI KUPINDAAA AISEEE
ALIWAWASHA MAPROF NA MADK KUTOMBAA OVYOO WANAFUNZI NA KUWAPA DEGREE ZA CHUPI WAKATISHIA KUMWONDOAAA MANINA WNAJUA WLIPOISHIAAA N NOMA
 
Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma

Ndiyo huyo pichani? Mbona naye anaonekana kama hajui kuoga vile!
 
Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma
Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM
Kwa nature ya masomo anayofundisha, Daktari ana nafasi kubwa zaidi ya kuwa anawafanyia namna kama ya counselling pindi anapokumbana nao wakiwa katika hali hiyo, kama kweli ipo, badala ya kusambaza taarifa hizi kwenye mitandao ya jamii. Yeye kama mlezi wao, kama anakuwa mkweli kiasi hiki kwenye mitandao, inabidi awe mkweli na kwao pia, na awashauri kwa hilo. Akumbuke pia kuwa hawa nao ni watoto wake sawa tu na wale ambao huwa anawaacha nyumbani asubuhi anapotoka kwenda kazini
 
Siyo kujua kuoga. Ukweli ni kwamba wanafunzi wanatembea umbali mrefu juani. Wakifika chuo wanakuwa wananuka jasho. Yeye anayesema hayo ana gari. Analipaki chini ya mti na kuingia darasani.
 
Tena Kama unakaa Hall 3... Utembee kwa mguu Hadi huko Fine and performing arts...anakofundisha huyo mwalimu..ukichanga na joto na jasho.. lazima harufu ikutoke hata Kama umeoga
 
Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma
Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM
Daa!! Inabidi sasa kabla ya kuingia lecture rooms kuwe na assembly ya kukaguliwa usafi: kucha, meno, kusuguliwa shingoni juu ya mabega kwa kidole gumba kama umeoga, na bendi ya ngoma kwa pembeni- Tii!! chachaa tii chaa tii chachaa tii chachaa (enzi hizo bwanaa!! raha tupu)
 
Tatizo ni maji na facilities.. vyuoni hadi leo wanafunzi wanabeba vindoo kwenda kuoga?

Aibu kubwa.

Balaa zaidi.utakuta maji ni ya mgao.

Mfano udsm chuo kipo karibu karibu kabisa na taasisi 2 kubwa za maji

Chuo cha maji

Makao makuu ya dawasa.

Sera ya serikalininatakiwa kuwa hivi

Huruma zote zinatakiwa kuwa 24/7 hasa

1. Magereza
2. JESHI
3. Vyuoni
4. Shule zote
5. Sehemu za huduma.za afya
6. Sehemu za michezo

Huruma hizo ni

1. Maji
2. Umeme
3. Barabara
 
Back
Top Bottom