Mhadhiri UDSM, Vicensia Shule: Wanafunzi wengi ninapofundisha hawajui kuoga

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Somo la maana ni lipi? Heshimu taaluma za watu kima wewe.
Sasa kama wenye taaluma hawajiheshimu sisi tutawaheshimu vipi? Mambo ya ajabu kama hayo yatafanywa na wahadhiri wa sanaa sanaa na porojo zingine za kijinga jinga, hutamkuta mhadhiri wa udaktari wa binadamu (MD) akifanya ushambenga kama huo, mara ooh, hawafui chupi, mara oooh wanagawa 0719.., mara ooh hawapigi mswaki, ujinga tu...
 
UDSM sio sehemu ya KUOGA OGA, ni SHU:LE SHULE SHULE, yeye aseme kama wanaDISCO, kuyoga wataoka tu sio kama kula ambapo ni lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…