Mhadhiri UDSM, Vicensia Shule: Wanafunzi wengi ninapofundisha hawajui kuoga

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
730
2,957
Mimi nafundisha pale chuoni asilimia kubwa ya wanafunzi hawajui kuoga, nafundisha masomo ya kuigiza pale mwanafunzi utakuta ananuka mpaka aibu.

Capture.PNG

_104521504_7bfb9705-648b-4394-a944-19e2b4f39a5e.jpg

Dkt. Shule alishawahi kuwatetea mabinti vyuoni wanaoombwa rushwa ya ngono na wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma
Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM
 
Somo la maana ni lipi? Heshimu taaluma za watu kima wewe.
Sasa kama wenye taaluma hawajiheshimu sisi tutawaheshimu vipi? Mambo ya ajabu kama hayo yatafanywa na wahadhiri wa sanaa sanaa na porojo zingine za kijinga jinga, hutamkuta mhadhiri wa udaktari wa binadamu (MD) akifanya ushambenga kama huo, mara ooh, hawafui chupi, mara oooh wanagawa 0719.., mara ooh hawapigi mswaki, ujinga tu...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom