Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi

Status
Not open for further replies.
mmmh!!mpaka aisiwe jambaz alikutwa ktk mazingira gan isije ikawa hawa magamba wanataka kutuhamisha ktk huu upepo wa ulimboka
 

Mkuu jazba ya nini tulizana subiri usikie habari vizuri wewe unaona binadamu ni Ulimboka peke yake.
 
Alikuwa anasimamia jambo gani au haki ya nani ambayo ilikuwa inagusa serikali?
 
Walikuwa wanafikiri ameficha gobole au unga nini? Nadhani kwenye kile kipindi cha radio imaan cha j'pili issue itakuwa ni hii ya kuvuliwa kanzu na tamko la maaskofu wakatoliki.
 
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Seleman Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.
Wakuu huyu mhadhiri naye anatuhumiwa nini hadi kutekwa? Hii style sasa siyo na ningeomba serikal kuhakikisha kuwa inakoma bila kujali mnufaika ni nani.
 
Hakutekwa, gari yao ilishikwa kituo cha polisi kutokana na dereva kutosimama njiani traffic walipomsimamisha ktk njia ya old Bagamoyo. Na hivi wapo Dar.
 

mkuu asante kwa taarifa,japo kuna maswali mengi yenye utata....amekamatwa katika mazingira gani.? Inamaana hakujitambulisha hadi wamvue kanzu.? Hadi wamhisi yeye kunatukio lolote la uhalifu lilitokea hivi karibuni huko bagamoyo.?
 
Huyu ni Mhadhiri au ni mhubiri..naomba kujua hili ikiwezekana mturushie CV yake..Maana tusije tukawa tunatumia vibaya maana ya neno Mhadhiri..tena maarufu. Anafundisha chuo gani, elimu yake etc.
 
Ametekwa ama amejificha?

Kama hakuna aliyeona tukio, basi kusema katekwa ni uzushi tu, he's just a missing person, and for adults, hilo si jambo la ajabu, subirini baada ya masaa 72, then mripoti polisi.
 
mmh, mbona hana impact kwa jamii, sababu sijasikia chombo chochote kikubwa cha habari kikisema hii mambo
 
kama ni maarufu mbona wengi hatumjui?
kwanini ametekwa? ametekwa sababu za kisiasa kidini au kijangili?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…