Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi

Status
Not open for further replies.
mmmh!!mpaka aisiwe jambaz alikutwa ktk mazingira gan isije ikawa hawa magamba wanataka kutuhamisha ktk huu upepo wa ulimboka
 
Ujiiiiinga mtupu huo!!!

Akili za kijinga kweli kweli eti ili ije ionekane kana kwamba hata UTEKAJI wa Dr Ulimboka nao ulikua ni tukio la kawaida tu. Ujinga kweli kweli yani!!!

Mwisho wa siku utasikia kwamba 'wamemteka' Stella Manyanya kabla ya kumfikia mlengwa halisi.

Bure kabisa wala haamna kitu pale!!!

Mkuu jazba ya nini tulizana subiri usikie habari vizuri wewe unaona binadamu ni Ulimboka peke yake.
 
Alikuwa anasimamia jambo gani au haki ya nani ambayo ilikuwa inagusa serikali?
 
kishki ni mhadhir wa kiislam ambae hutoa mawaidha ya kiislam kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini,na pia hutoa mawaidha yake kupitia kituo cha redio cha redio imaan,even leo alfajiri nilimsikia(ila huwa rekodedi),sasa waliotoa taarifa hiyo ni hao redio iman,na in fact hajatekwa ila polisi walimshuku yeye na watu aliokuwa nao kuwa ni majambaz,tukio limetokea bagamoyo,,,,,,walilazimishwa kuvua kanzu zao,ila taarifa zaidi tutazipata,,,,,,
Walikuwa wanafikiri ameficha gobole au unga nini? Nadhani kwenye kile kipindi cha radio imaan cha j'pili issue itakuwa ni hii ya kuvuliwa kanzu na tamko la maaskofu wakatoliki.
 
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Seleman Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.
Wakuu huyu mhadhiri naye anatuhumiwa nini hadi kutekwa? Hii style sasa siyo na ningeomba serikal kuhakikisha kuwa inakoma bila kujali mnufaika ni nani.
 
Hakutekwa, gari yao ilishikwa kituo cha polisi kutokana na dereva kutosimama njiani traffic walipomsimamisha ktk njia ya old Bagamoyo. Na hivi wapo Dar.
 
kishki ni mhadhir wa kiislam ambae hutoa mawaidha ya kiislam kwen
ye maeneo mbalimbali hapa nchini,na pia hutoa mawaidha yake kupitia kituo cha redio cha redio imaan,even leo alfajiri nilimsikia(ila huwa rekodedi),sasa waliotoa taarifa hiyo ni hao redio iman,na in fact hajatekwa ila polisi walimshuku yeye na watu aliokuwa nao kuwa ni majambaz,tukio limetokea bagamoyo,,,,,,walilazimishwa kuvua kanzu zao,ila taarifa zaidi tutazipata,,,,,,

mkuu asante kwa taarifa,japo kuna maswali mengi yenye utata....amekamatwa katika mazingira gani.? Inamaana hakujitambulisha hadi wamvue kanzu.? Hadi wamhisi yeye kunatukio lolote la uhalifu lilitokea hivi karibuni huko bagamoyo.?
 
Huyu ni Mhadhiri au ni mhubiri..naomba kujua hili ikiwezekana mturushie CV yake..Maana tusije tukawa tunatumia vibaya maana ya neno Mhadhiri..tena maarufu. Anafundisha chuo gani, elimu yake etc.
 
Ametekwa ama amejificha?

Kama hakuna aliyeona tukio, basi kusema katekwa ni uzushi tu, he's just a missing person, and for adults, hilo si jambo la ajabu, subirini baada ya masaa 72, then mripoti polisi.
 
mmh, mbona hana impact kwa jamii, sababu sijasikia chombo chochote kikubwa cha habari kikisema hii mambo
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom