Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Kova ni musilam, so as Mwema, Hemedi Msangi et al, Sheick hawezi kuwa na shida yoyote.Huu ni uzushi huu.
 
Hiyo barabara yote ya Bagamoyo kwa kipindi hiki ni hatari, kwani jamaa wanawatafuta watu wa kuwabambikia kesi ili watuaminishe ndiwo waliomteka Dr. Ulimboka, watajifanya wamewakuta na simu pamoja na waleti yake-then Kova atavionyesha so muwe makini na hiyo njia mlio Dar aisee
 
Ametekwa ama amejificha?

Kama hakuna aliyeona tukio, basi kusema katekwa ni uzushi tu, he's just a missing person, and for adults, hilo si jambo la ajabu, subirini baada ya masaa 72, then mripoti polisi.

Tukio lenyewe ni matokeo ya Inteligensia hafifu: huyu Sheikh alikuwa na wageni wake ambao inasemekana ni viongozi wa dini kutoka Yemen, wakiwa kwenye Landcruiser V8, mpya na tinted walisimamishwa na traffic na wakasimama, akawasalimia na kuwaruhusu. Lakini huku nyuma traffic akawa na wasiwasi na wale waarabu ndani ya gari zile, akatuma ujumbe kwa wakubwa zake ndio wakatuma askari wasio na sare; (huenda ni anti-terrorism squad), kufuatilia hizo gari hadi Bagamoyo na kuwakamata. Ule ukamataji wa kimzobe-mzobe, na watu wasio na sare wakiwa na gari binafsi ndio uliwafanya watu walioshuhudia wafikiri jamaa labda wanakwenda 'KUMLIMBOKA'.

sheikh Kishki na wageni wake baadae waliachiwa na akwahutubia wafyasi wake waliukuwa wamepiga kambi kituoni hapo. Mziki wake ulikuwa mzito, Inasemekana ilichukua hekima ya mkuu wa kituo kuwatuliza masheikh hao na kuepusha ugomvi mwingine baina ya watawala na wanaharakati wa kiislam.
 
Inatakiwa wananchi na polisi kuwa vigilant hivihivi maana hawa jamaa hawatabiriki...
 
Kova ni musilam, so as Mwema, Hemedi Msangi et al, Sheick hawezi kuwa na shida yoyote.Huu ni uzushi huu.

Nadhani Stella Manyanya ni Mkirsto na Dr Ulimboka ni Mkiristo, anachosema dhidi ya Ulimboka ni kweli?
 
Ametekwa ama amejificha?

Kama hakuna aliyeona tukio, basi kusema katekwa ni uzushi tu, he's just a missing person, and for adults, hilo si jambo la ajabu, subirini baada ya masaa 72, then mripoti polisi.

Kiazi kingine hiki hapa, ajifiche kwa kosa?
 
Inatakiwa wananchi na polisi kuwa vigilant hivihivi maana hawa jamaa hawatabiriki...

Mkuu ukiwaheshimu viongozi wa dini ya wenzako na wewe pia watawaheshimu viongozi wa dini yako!
 
asije akawa anahusishwa na ushawishi wa kugomea sensa mpaka vile vipengele viingizwe ktk maswali yatakayoulizwa.
 
Nadhani Stella Manyanya ni Mkirsto na Dr Ulimboka ni Mkiristo, anachosema dhidi ya Ulimboka ni kweli?

Wabongo msipotoshwe sana na majina ya Wazungu (eg. Stella) na Waarabu (eg. Hemed) mkafikiri akina Stella wote ni wakristu au akina Hemed wote ni Waislamu. Ndo maana hoja ya udini na dini haina tija katika masuala ya maendeleo ya taifa kama la kiTZ. Both Stellas and Hemeds wanaweza kuwa kunapigika vibaya sana na umaskini au wanaweza kuwa wanafisadi - umaskini, ubora wa maisha, utajiri, ufisadi hauna rangi wala dini.
 
Nadhani Stella Manyanya ni Mkirsto na Dr Ulimboka ni Mkiristo, anachosema dhidi ya Ulimboka ni kweli?

Mkuu tuache mambo haya ya ajabu sana..Unamaanisha kama angekuwa Muislam angesema uongo..tuache kuwazia haya mambo ya udini jamani. Hata hivyo nani kakuambia Ulimboka ni Mkristo au Eng Stella Manyanya.. Haya ni majina tu wala hatutakiwi kuya-connect na dini. Ushauri wa bure..hata Boko Haram walianza hivi hivi..
 
Shekhe kishk alikuwa na wahadhir wakiislamu kutoka yemen ambao wamekuja nchini tz kwa ziara za kidini sasa yeye ndie mwenyeji wao. Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa pwani anasema askar waliwashuku kuwa ni wasomali hivyo wakaamua kuwafuata lakin bahati mbaya askar gar lao likaishiwa na mafuta hivyo wakaamua kutoa taarifa kwa askar wa bagamoyo na ndipo baadae wakawafuata na wakawasimamisha.Na kuachukua bila ya nidhamu na wakapelekwa kituo cha polic kuhojiwa baadae mkuu wa mkoa akawaomba radhi wa islamu kwa kitendo kilichotokezea .Na baadae kamanda akasema watawahoji wale askar na kuchunguza kama waliwafanyia kweli mambo waliyodai mashekh . Ikibainia watawachukuli hatua za kinidhamu wale askar waliowakamata mashekh.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom