naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,420
Husiendelee kuni quote ujinga aiseee. Kiko wapi kitabu chako ww ambacho hujacopy Wikipedia? Bora huyo PhD Ponera na PhD yake mbovu km unavyodai ww anapata liziki yake ya halali pale UDOM kuliko ww ambaye ata bachelor uchwara huna unasubiri Buku 7 kwenye dirisha la Joket LumumbaRuksa kuendelea na kuuza kitabu utakavyo na kutajirika utakavyo kwa mauzo ya kitabu chako cha msingi don't just copy and paste Wikipedia au Internet. huyo Dr anaelewa sana kuwa kazi ya kitabu kilichoandikwa inatakiwa iwe original na akikopy lazima aonyeshe na Ku acknowledge source.Huyo Dr Ponera inabidi anyanganywe hiyo PhD .Atawapa wanafunzi PHD kwa Ku kopy Wikipedia