Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,917
- 122,172
Aisee.sasa Jesca ni nani...mpaka ushangae si alifeli au ushasahau
Lakini mzuri aisee hako kabinti
Aisee.sasa Jesca ni nani...mpaka ushangae si alifeli au ushasahau
Hahahaa mkuu vipi, wewe una maoni gani ukiacha kubeza kazi nzuri zinazofanywa na wenzako?Msomi na maoni hayo! Basi ODM ndio maana wanasema ni chuo cha KATA! Lakini nadhani wanamsingizia! hawezi sema hivyo AU alikuwa anatania tu!
Hatutaelewana.... enjoy your night!Hahahaa mkuu vipi, wewe una maoni gani ukiacha kubeza kazi nzuri zinazofanywa na wenzako?
Ukumbuke kuheshimu kazi za wenzio hata kama haziko ktk mlengo unaopenda wewe.
Kwa wenzetu wanaojali umuhimu wa kazi muhimu kwa ajili ya maendeleo na faida za nchi zao( yaani wazalendo wa kweli ukiacha hawa uchwara wetu).
Yericko angeweza kutumika japo hata kushiriki ktk ujenzi wa maswala ya kijasusi au kuimarishwa zaidi kwani anafanya kazi hizi kwa juhudi zake binafsi. Huyu ndiye mzalendo anapaswa kuumgwa mkono. Lakini kwa hizi Water head za watawala hawawezi kuona hili.
Mkuu BED ni Bachelor in Education..hakuna neno Arts kwenye BED hyo ni PURE MWALIMU..Bachelor of arts with education (BAED),bachelor of arts in education (BED) nakushauri kajifunze ndio uje udanganye
Mkuu Hii Story Ilinipita Kama Hutojali Naomba Unijulishe Mahala Pakuipata.Huyo ndio Yericko Nyerere aliyeweza kuwaponyoka vikosi kadhaa vya wahalifu waliokuwa wakimfatilia kuanzia Kigamboni. Kinondoni, Mbezi kibaha hadi Chalinze, akawachomoka kwa mbinu za kikomandoo hadi akakimbilia Arusha mpakani mwa kenya na akarudi Tanga usiku mmoja wa manane.
Wahalifu wale walilenga kumnyang'anya pengine hata kumpoteza kabisa kutokana na kubeba kwake drafti ya Ushindi wa Uchaguzi 2015.
Viva Yericko.
Acha kupotosha bwana mdogo.kuna bachelor of arts with education Baed na Bachelor of Education Bed.Bachelor of arts with education (BAED),bachelor of arts in education (BED) nakushauri kajifunze ndio uje udanganye
hahahaaaa great thinker wa ufipa utamjua tu.. BAED in ArtsHuyo mhadhiri bila shaka alisoma BAED in arts..bila shaka alikuwa ni lecturer mzuri wa Kiswahili..maana neno nyuga ndio nimelisikia leo
Dr Nyerere, haya kanyaga twende.Maoni yake hayana uhusiano na utimizaji wa majukumu yake kulingana na mkataba wake... Acha watu wafiriki.....
wewe nakufahanu akili yako inakutosha kuvaa boxer tu wala hutupi shidahakuna muhadhiri mwenye jina hilo Dodoma Yericko kaolota muhuni mtaani ili ampigie debe kitabu chake
Maoni ya Dkt. Athumani S. Ponera (Mhadhiri wa Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dodoma) baada ya Kusoma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.
Daktari Ponera anasema "Yericko Nyerere kupitia kitabu hiki unastahili kupata PhD mbili, anafafanua zaidi kwakusema, PhD ni uzamivu wa mtu ktk Eneo/uga fulani. Mtu akisoma andiko lako anapata maeneo mawili au matatu yaliyofanyiwa kazi kwa kina. Kwa maoni yangu, Nyuga hizo ni pamoja na:
1. Usalama
2. Histo-tamaduni (maelezo ya kihistoria, matukio na utamaduni kuhusu jamii/maeneo mbalimbali)
3. (utamaduni wa)Siasa za maeneo mbalimbali.
Any of the above fields zimeelezwa Kwa kina, na zinaweza kumegwa na kujalizwa kidogo kisha mtu anapata PhD....hongera sana Yericko Nyerere".
Audio:
Kasahau kwamba Tanzania tuna mtukufu mmoja tu. Wote tuliobaki kazi yetu ni kumsifia tu.Huyo Dr ataandamwa....na wale wa mtindio wa Lumumba hadi atajuta kusifia....awamu hii kusifiwa ni mtu mmoja tu......
Phd kwa ku copy Wikipedia na Ku google internet? Huyo Dr ponera ni Dr hewa.Magufuli tumbuaIko vizur sana