Kitabu cha Yericko Nyerere 'Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi' chaingizwa Library of Congress Marekani

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
200
263
Ameripoti katika ukurasa wake fb

"
Habari njema kwangu na kwa Watanzania, Kitabu changu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kimeingia rasmi kwenye maktaba ya dunia iitwayo Library of Congress iliyopo Marekani.

Hatua hiyo inafanya kuwa sasa kitabu hiki cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kitatumika kama rejea (source) muhimu kwa wasomi na watafiti mbalimbali wa mambo ya kijasusi ulimwenguni

Unaweza kutembelea hapa >>> LC Online Catalog - Item Information (Full Record)

Na Yericko Nyerere"

IMG_20170928_232320_288.jpg
 
mijitu hata kuandika Insha ya 100words hamuwezi mnamsema aliyetoa kitabu get inspiration mnadhani watunga vitabu wanatoaga wapi knowledge yakuandika vitabu vyao kurupuka tu eti plagiarism wew hata kuweka citation au footnote hujui, mnadhani kila mtu ni bashite
 
Back
Top Bottom