Mhadhiri Chuo Kikuu Dodoma ataka Yericko Nyerere apewe PhD mbili kupitia kitabu chake cha Ujasusi

Muhadhiri kasema alichokisoma na kukikubali bila kupindisha.

Ila chuki za bwana yule tuzisubiri kuzisikia
Wewe huyo Dr ni fake aende YouTube aone majasusi original wa kiuchumi waliofanya kazi hizo .aandike tu kwenye Google a search neno economic hitman YouTube atapata masomo mazito kuliko hayo koko ya yeriko Nyerere. Dr Mzima yuko zero kwenye research stupid
 
Wewe huyo Dr ni fake aende YouTube aone majasusi original wa kiuchumi waliofanya kazi hizo .aandike tu kwenye Google a search neno economic hitman YouTube atapata masomo mazito kuliko hayo koko ya yeriko Nyerere. Dr nzima yuko zero kwenye research stupid
Sawa akiiona hii post yako ataitekeleza
 
Wewe huyo Dr ni fake aende YouTube aone majasusi original wa kiuchumi waliofanya kazi hizo .aandike tu kwenye Google a search neno economic hitman YouTube atapata masomo mazito kuliko hayo koko ya yeriko Nyerere. Dr Mzima yuko zero kwenye research stupid
Acha wivu wa kike, bora Yeriko kafanya icho kidogo. Wewe umefanya nini zaidi ya kupiga domo Lumumba?
Mavi wewe
 
Huyu jamaa IQ yake ni kubwa sana sema kwa kuwa hana unafiki wa kusifia wapenda sifa bila sababu wengine mtamwona hafai. Kwa namna na hekima ya kujua na kuchambua hoja inaonyesha huyu YERICO ni PHD holder. Hongera sana Y. Nyerere
 
Kwa kweli nitajiondoa humu jf maana watu wengine hata hawajui kutetea hoja. Ponera katoa hoja baada ya kusoma andiko na kutolea mapendekezo wahuni humu wanaponda hoja bila kutoa hoja.
Hivyo vitabu vya yeriko ikisoma utaju
maudhui yake Ila kama hujasoma ukae kimya
 
Acha wivu wa kike, bora Yeriko kafanya icho kidogo. Wewe umefanya nini zaidi ya kupiga domo Lumumba?
Mavi wewe
Wewe yeriko kakopi Wikipedia na kuokoteza mafundisho ya wasabato ya kuuunga unga kushambulia kanisa katoliki ambayo Ka Google internet ya kuokoteza ndio maana nika sema MTU akitaka kujua majasusi wa kiuchumi a Google kwa kuandika economic hitman YouTube atawapata original sio fiction na hadithi hewa fikirika za yeriko Nyerere .huko atawapata wenyewe original.Na ukitaka kupata vitabu vyao andika economic hitman PDF utapata vitabu vyao bure vya wenyewe waliofanya hizo kazi za Ku hit economies
 
Wewe yeriko kakopi Wikipedia na kuokoteza mafundisho ya wasabato ya kuuunga unga kushambulia kanisa katoliki ambayo Ka Google internet ya kuokoteza ndio maana nika sema MTU akitaka kujua majasusi wa kiuchumi a Google kwa kuandika economic hitman YouTube atawapata original sio fiction na hadithi hewa fikirika za yeriko Nyerere .huko atawapata wenyewe original.Na ukitaka kupata vitabu vyao andika economic hitman PDF utapata vitabu vyao bure vya mwenyewe walk of any hizo kazi za Ku hit economies
Lkn Ndivyo miafrica tulivyo hatutaki kuona mwenzetu kapiga hatua. Hatuendelei kwa sababu ya kupuhuza vya kwetu na kutukuza vya wazungu. Sawa Yeriko kakopi Wikipedia, na ww kiko wapi chako ulichokopy huko? Punguza Chuki kaka Siasa zisitugawe sisi ni ndugu.
 
Lkn Ndivyo miafrica tulivyo hatutaki kuona mwenzetu kapiga hatua. Hatuendelei kwa sababu ya kupuhuza vya kwetu na kutukuza vya wazungu. Sawa Yeriko kakopi Wikipedia, na ww kiko wapi chako ulichokopy huko? Punguza Chuki kaka Siasa zisitugawe sisi ni ndugu.
Ruksa kuendelea na kuuza kitabu utakavyo na kutajirika utakavyo kwa mauzo ya kitabu chako cha msingi don't just copy and paste Wikipedia au Internet. huyo Dr anaelewa sana kuwa kazi ya kitabu kilichoandikwa inatakiwa iwe original na akikopy lazima aonyeshe na Ku acknowledge source.Huyo Dr Ponera inabidi anyanganywe hiyo PhD .Atawapa wanafunzi PHD kwa Ku kopy Wikipedia
 
Mnafiki tu kwani yeriko ndio mtu wa kwanza kuandika vitabu vya namna hiyo kwa asilimia kubwa amepata picha na kubadili tu baadhi ya vitu kutoa kwenye vitabu vya history vilivyo tangulia
Wapo watu walio andika historia na inapuuzwa ila leo kuandika yeriko anaonekana
 
Kuna hatari ya kufukuzwa kazi
Lazima aondoke jopo LA maprofesa lifanye assessment Kama anastahili kuwa mhadhiri mwandamizi.He is too low.Mimi ningekuwa nafanya dissertation yangu nisingekubali kusimamiwa naye I swear.Yuko too low below sea level
 
Back
Top Bottom