MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
-
- #41
Mjukuu wangu Hao majambazi wa nini tena?
Ngoja nitafakari kidogo!
Okay babu nimekuelewa hapa lol................hapana Mbu wangu si jambazi wala kibaka. Shaka ondoaMi namjua mbaba mmoja hivi alimuoa baamedi aliyekuwa anagawa kama pipi. Huwezi amini alivyobadilika. Hii ishu bana huwezi kupata jibu la moja kwa moja manake inategemea n'tu na n'tu...Ila kuwa safe zaidi.........Usiijaribu sumu kwa kuionja.
BTW ndo kusema nijiandae kukamata mahari ya Jambazi?
Chunga tamaa mbaya.
Inategemea, hizo tabia mbaya anazifanya kwa kulazimika au kwa kuchagua?
- Kama anafanya kwa kukosa machaguo, akipata machaguo, anaweza kuchagua kuacha!
- Kama amechagua hayo maisha, uwezekano wa kuacha ni next to impossible
Aksante King'asti nimekupata vilivyo. Ubarikiwekama uamuzi wa kubadilika ulikuwa wa kwake binafsi uwezekano ni mkubwa akaendelea kuwa na tabia njema, ukiongezea na support anayopata kutoka kwa wanaompenda (u inclusive). lakini asiseme anataka kubadilika kwa ajili yako ww! muhimu ni kutambua kuwa kamwe huwezi kumbadilisha mtu tabia,inabidi ajutie na kutaka kubadilika yeye mwenyewe. manipulation haisaidii hata kidogo, lakini toa support yako inapobidi (kwa kumtia moyo na kumuombea pia). Mungu ameweka njia mbili mbele ya kila mwanadamu, huwezi kum'buruzia kwenda njia nzuri
Aksante Daffi......je unawezakubet ukajikomiti?? Au ndo hatuwezi kupredict?Uwezekano wa kuziacha kabisa upo au wa kutoziacha,maana inategemea kwanini alikuwa anafanya hivyo,maana kama uchangu,wizi watu wengine wanafanya kwa ajili ya ugumu wa maisha,na wengine wanafanya hivyo kwa hulka na raha zao,thus inategemea na sababu kwanini huyo mtu alijiingiza huko.
MJ1 Nyani N kasema vizuri labda na mimi nifafanue zaidi
1.Wanasema chizi haponi ila huwa anapata nafuu tu,siku akiona jalala anatamani arudi kuchakuachakua.Hivyo kuna uwezekano huyo mtu
akarudia asili yake
2.Lakini kisheria pia mhalifu akipelekwa mahakamani kosa au makosa aliyofanya nyuma hayawezi kutumika kama ushahidi wa kuthibitisha uhalifu
wake alioufanya sasa.Mfano kama mtu anakosa la utapelii akakamatwa na kufunguliwa kesi kisha akatoka kwa dhamana naakiwa chini ya dhamana akatapeli mtu mwingine,mtu huyu akipelekwa mahakamani hiyo ni kesi mpya wala haitakuwa nauhusiano na ile ya mwanzo.
Kwahiyo yote yanawezekana ila isim judge mtu kwa past yake,wapo watu nawafahamu walikuwa na maisha machafu lakini sasa wana ndoa zao stable kuliko za wale walioonekana wana maadili.
Kila raheli,usisahau kutupa mshindo nyuma wa huu mchakato
Anaweza kuziacha kbs au aziache kwa muda thn arudie tena. Ila sasa ukimkuta aliyeziacha, huwa anaziacha KABISA! anakuwa ni tofauti mpk ukiambiwa mambo aliyokuwa anafanya zamani huwezi kuamini!
Swali zuri sana hili[/QUOTE]Aksante kaunga.......lakini kama amechagua kuyafanya si anauwezo wa kuchagua kuyaacha au?
Huo ni mtihani MJ kwasababu jaribu vitu vingine na sio Maisha ya ndoa hasa kwa sisi ambao Talaka ni Mwiko.....
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?
Aksante Laaziz ...............nadhani ni sahihi kujievaluate na sisi wenyewe............lakini je ukijigundua kuwa wewe uko tayari ku'yaacha' yote utaijenga imani hiyo hiyo kwa mwenzi wako mtarajiwa??
Aksante kwa hiyo link
duhhhhhh!....ama kweli "....na aliye msafi aanze kutupa jiwe!"
Nimesoma michango mbali mbali ya kwenye topik hii, nime conclude kumbe wengi wetu tu wepesi kutupa mawe.
Hivi tunapoanza mapenzi tunatakiwa tuanzie wapi?
Siku tuliyokutana, au ndio inabidi tufungue CV nzima ya maisha ya mtu tangu alipozaliwa?
Je, ni halali kum judge mtu kwa matukio yaliyopita? unajuaje maisha yalimlazimisha kuyatenda yote hayo,
baada ya kuungama na kujitambua, akaamua kubadilika?
Naamini kila mwanadamu anastahili 2nd chance ya kuaminiwa jamani ama?
Hata mfungwa hutumikia kifungo chake, na akishamaliza adhabu anakuwa huru japo tayari keshakuwa branded mkosaji.
Anyway, Mwj1....kwa upande wangu inategemea kosa na kosa kwenye hizo tabia mbaya.
Kama mke/mume ana tabia 'unayoamini' haitabadilishika, then haina hata haja ya kujiingiza kwenye mahusiano hayo.
Haina haja kujiingiza kwenye mahusiano mguu mmoja,...uta trigger alarms tu ambazo mwenzako atakubaini na ata react
vile anavyodhania ni aheri kwake.
Na umri wangu huu nimeona wengi na mengi sana...Ila hata siku moja usiende sokoni kununua matatizo. Hata hivyo, siyo kweli kwamba kama asubuhi ilikuwa na mawingu mazito ya mvua basi jua haliwezi kutoka jioni..tena tamu na la nguvu!!
Mwaya..jitahidi kuchezea kwenye viwanja vyenye majani mafupi mafupi na visafi hata kama huna hakika kama ni natural au artificial!!
Aksante mydia kwa kunielewesha hapa. Nadhani ni kweli wengi wetu huwa tunapenda kujiwekea kinga hata mahali ambapo hatunauwezo wa kucontrol...............Ni sawa na vema kuaminiana na kujenga trust kwa mwenzako lakini Mbu kila kukicha huwa tunakutana na maneno haya...kunguru hafugiki..........n.k ndio maana nadhani tunayasumbukia haya makinga yaso na uhakika!!
Thanx darling! (I hope Babu hatokucharge mahari kubwa kwa hii sentensi)
jasiri haachi asili.
LOL...mwache huyo, yeye anajipa moyo tshirt yenye jasho lake imesafiri!...
Wengine tuliambiwa...."naku miss hapa nimelala nimevaa chupi yako, !"...kumbe tulikuwa tunasaidiwa vile vile.
Mwj1..."...if it aint broke, dont fix it!..."
Ni kweli nilikuwa na kunguru asiyefugika, lakini si kila ndege ni kunguru!...
Am an Opportunist,....nategemea sana huko mbele ya safari kuwa na mwenza ambaye
hata niki invest 99.9% ya mapenzi yangu kwake na bado aka ni disappoint kwa tabia zake
sita mjudge "wanawake wote ndio walivyo!" au CV yake ni mbaya tangia utotoni...
Akiamua kufanya ujinga wake kwenye mahusiano yangu, nitaanzia kumjudge hapo...sio ya awali.
Nilipojikubalisha nae, nilijua kuna vigezo atavyokuwa navyo, na kuna vigezo atakuwa na upungufu nao.
Mwenyewe na maskendeli na maskeleton kibao kabatini...hata nikichungulia mwenye hunitisha saa nyingine,...
lakini haina maana hilo halinizuii kujisemea yaliyopita yamepita, Umri umekwenda na busara inahitajika
kwenye maamuzi.
Kwa mgonjwa wa pombe (Alcoholic) hatua ya kwanza ya uponyaji ni kujitambua yeye ni mlevi na anahitaji msaada
...mteja wa unga, mzinifu, nk...wote wanaangukia kwenye kundi hilo...
Kinyume na hapo, nitadata nikimsubiria aliye mweupe kama karatasi. Kwa maisha ya sasa hayupo.
Sote tuna mapungufu kibao, ndio maana tumefungua darasa Jamiiforums.
mkuu kunaa vitu viwili hapo,sababu iliyo mfanyaa mtu[kike]kuwaa changudoa,inawezekanaa ni maisha magumu yaliyo mpelekeaa yeye kuwaa hivyo ilaa moyoni mwake hapendi kabisaa hiyo biashara,so anapopataa mtu wa kumuowaa akabadilikaa kabisaa,na kuna mwingine ni hulka yake huyu ningumu kubalilikaaa,na ukibahatikaa kumpataa changu alie amuaa kutuliaa utafurahi kwani wanakuwaa si wa kuangaikaa ovyoo