AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Zitto for presidency 2015
Tunaweza kubadilisha katika FULL STOP
hapa kuna kazi kweli kweli! Hivi na wewe (tume ya katiba) leo hii unamuunga mkono zitto na waki www ni mpingaji mkuu wa chadema na ni kada wa ccm kwani even hata kwenye thread zako huwa unaiponda san cdm na kuisifia ccm!
Chadema kuweni makini kwani ukiona hata makada wa ccm wanmuunga sana zitto mkono na wakati yupo upinzani basi hapo ndipo pa sisi wanamageuzi wa cdm kumtafakari na kuwa naye makini huyu zitto kwani akiwa rais basi ujue ndo mwsho wa cdm
KWANINI PRO CCM WENGI WANAMUUNGA MKONO ZITTO KULIKO SLAA?'