Mh. Zitto na Martin Luther King

Mh. Zitto na Martin Luther King

Status
Not open for further replies.
Zitto is gone.Luther is a living legend..Martin aliipinga ubaguzi na kamwe hakujificha ktk ubaguzi ili atende ubaguzi.Malcolm alijificha kyk ubaguzi ili atekeleze ubaguzi mkubwa na chuki zake za kidini.

Martin aliifuata mwanga kuondoka Duniani..Malcolm X alifuat giza na viumbe anaomchekeachekea .aliokula nao viapo vy akumaliza uhai.
 
Wacha kuongea vitu usivyo vijua!
Martin Luther hakuruhusu white people to join his struggle! Rather alikubali misaada ya kifedha na vinginevyo!
Alikuwa mbaguzi km wewe!
 
Martin Luther Kingi hakutoka ktk dini ya kuruhusu uongo mtakatifu au kuwa mnafiki kuwa kula vyao halafu wao wabaki kuwa wachafu.

Martin Luther king aliuchukia pia ubaguzi toka upande wa weusi.hakuona tofauti ya mweusi anayeshangilia kuua mzungu na mzungu anayembagua na kumuua mweusi.wote ni racists.

NInanvyoongea hapa nimetoka shughudia mzungu akimjia juu mbongo aliyejichekesha na kuwuita mzungu..kamuuliza nikikuita "we mwafrica ina sound vipi..niite jina langu".Wabongo wamekuwa wakipiga kelele na wenzao wa kiarabu kuwa wanataka waarabu na waafifrica wapate uraisi kwa wazungu ila is wazungu kupata uraisi Africa na Urabuni.
Hizi logic zenu ndizo zinawaponza mnakula haramu mnayoilaani mkidhani ni wajanja sana.

Wakati Malcolm -X na jidars zake pamoja huligans wengine wa NoI ,waliishia uza unga na ..Martin lUther king aliamini kwa Mungu na ujasiri bila silaha.Freedom of mentality.

Ndio maana wajinga nyie mnamwona mkoloni ni mzungu tuu, na si mweusi na mwarabu.
 
Teh teh teh teh!
As always! Domo reeefu! Ushahidi kapuni! 😀😀😀
We umesahau swali nililokuuliza!? Au unajitia mwehu!
We si unasema KUNA MKOLONI MWEUSI?? NATAKA UNIPE MFANO!! sio bla..bla.. bla..!
Nyie ndio wale mliotoka ktk kile kizazi kilichowauza waafrika wenzao kwa wakoloni!
Mzungu hakuthamini wewe na mimi hata km unamuabudu!
Unajua tatizo lenu watu kama wewe ni kuwa mpaka leo 2013 MNADHANI MUNGU NI MZUNGU!

teh teh teh teh!

Ndio maana hata wake MAPADRI WANAPENDA KUONGEA KISWAHILI CHA KIZUNGU.
teh teh teh teh!

Na kwa sababu hio mnachukia waarabu tunaoishi nao mtaa mmoja tukisaidia nao kwenye harusi na misiba! Mnawapenda wazungu wanaokuona wewe na yule doggy wake, basi doggy ana afadhali!

Amka ndungu! Wazungu hawakuthamini wewe wala ukoo wako! Ni maadui miaka yote!
Tumia akili.kidogo ktk kutoa maamuzi ya maisha yako! Sio kufuata tu nini padri kasema!
Km bendera kufuata upepo!
 
kwani wewe unaishi kwa kuthaminiwa na watu..?wewe kazi kweli kweli.Nani kakuambiwa wazungu lazima wawe treated tofauti?Wsiokuthamini wanaweza kuwa mtu yeyote..mbona lukuvi ,kapuya na wengine ni wabaguzi,wazandiki, wakandamizani etc...NDIO MAANA MARTIN LUTHER KING ALIKUWA TOFAUTI SANA NA WENGI WA MASHUJAA WENU NA HATA NYIE WENYEWE.MNAJIPENDEKEZA TUU PALE MNAPODHANI KUWA YALE ALIYOYASIMAMIA YANAWAPA FAIDD DHIDI YA ADUI WAKO.

Akli zak itumw andizo zinakufanya uone hiyo futari na tende ndio undugu,umesikia matusi wanayowatukana wehu nyie ktk kazi zao pamoja na kwamba mna majina ya kufanana?

Nani kakuambia tunadhani Mungu ni mzungu..Mungu hana Race,na wala wayahudi kwa asili zi wazungu,ingawa miaka hii wamechagnya sana.

wewe unajifanya funga mamcho ukidhani ukweli nao uatatoweka.Wauzaji watumwa wote walikuwa na mahusiano na waarabu na leo waarabu wanatoa pesa ili waitwe mashujaa,na wale wenye majina km yao mnadhani kuwa mnatetea dini au dini itaonekan kuwa ya kikombozi.wakati jamaa walipigana na wamisionary na si wazungu makabaila.baada ya kuzuia biashara ya kuuza watumwa.

Wamanyema, wayao, mkwawa, akina fundikira na Mirambo,abushiri, Kinjekitile aliyekuwa akilinda biashara ya watumwa waliyofanya wayao kwa kuwauza wamalawi.Hadi leo wamalawi wanatuchukia kwa hilo.Wote hao ndio mashujaa wenye majina km ya waarabu,kwa akili yaow anajiona kuwa wenzao.
 
Matusi meeengi ya nini??
Kwani huwezi kuandika bila kuniita mwehu??
Hizi hasira zitakuponza. Nimekuonya mara nyingi lkn naona unazidi kukosa adabu.

Unasema mungu hana race!
Sasa hiyo picha ya MZUNGU inafanya nini makanisani??

Kwenye ule msalaba kuna sanamu ya mzungu!! Nani alikwambueni Kuwa Yesu alikuwa MZUNGU??

Viongozi wenu wakuu wote duniani WAZUNGU!

Mpaka mahubiri yenu kwenye tv hayakolei MPAKA MSEME KIZUNGU halafu mtafsiri kwa kiswahili!!
Hebu fungua AGAPE TV uone vituko!

Halafu eti vyoo vya makanisani pia vya KIZUNGU??

Just wonder! Thats all.
 
Eti we Nicholas eti ni kweli kuwa una asili ya kihutu au??
Kiswahili chako kinachanganya mno!

Au ni zile mbege za bure kutoka CDM!!?

Unajua andiko limekataza ulevi??
Ngoja nikupe andiko huenda ukaacha!!

Uzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)

Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraim na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde-linalostawi la hao walioshindwa na divai! (Isaya 28:1).

Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu huchanganya vileo, wampao haki-mwenye uovu ili wapewe ijara na kumwondolea mwenye haki haki yake. (Isaya 5;22-23).

Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo, wakishinda-sanahata usiku wa manane mpaka-mvinyo imewaka kama moto ndani-yao!
Na kinubi, na zeze na matari na filimbi, na mvinyo zote ziko katika-karamu zao lakini hawaangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake. (Isaya 5:11-12

Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huuma kama-nyoka; Huchoma kama fila. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwakama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).

Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi.(Isaya 56:10-12).

Teh teh teh ! Yaani haya maandiko utafkiri yanakujua tabia zako!

Cc maulana gombesugu
 
Last edited by a moderator:

Maulana Dr Kahtaan,

Huyo kenge alcoholic Nicholas... Mchaga asiesoma kutoka Kishimundu,yaani anaishi mjini kwa kueneza Islamophobia tu na kuchafuana kisiasa...huyo na yule ndondosa Yericko Nyerere hawa ni mafisi wakisiasa na ni wachovu wa maisha tu!

Wao wamelianzisha,na sisi tutakwenda nao sambamba mpaka kipenga cha mwisho hapo 2015! Teh! Teh!

Dr Kahtaan,nakuaminia Maulana endelea kumpigilia "misumari ya kichwa" huyo janga la Taifa Nicholas na kikosi chao cha ukabila!

Ahsanta.
 
Al mudir gombesugu nafurahi kukuona jukwaani!
Na umekuja na misumari barabara!
Teh teh teh teh!
Hawa jamaa lazima wakuchukie! Manake unawafahamu kama mwalimu wao!

Amma kuhusu huyu msukule Nicholas huyu kinachomsumbua ni zile mbege za bure!
Yeye huwa atumwatumwa sigara na vitu vidogodogo pale branch ya cdm kiboriloni!
In return wanampa yake mabaki ya mbege!
Sasa ukimuona umri wake miaka 25 lkn anaonekana sura zake km ana miaka 60!

Teh teh teh.
 
kahtaan

Nakusoma nakusoma na hizo bayana zako.
 
Last edited by a moderator:
Acha kumdhalilisha Martin luther king... Nenda katafakari kwanza ndiyo uje hapa jf
. MARTIN LUTHER KING UNAMJUA AMA UMEHADITHIWA? Kajipange...
we haini utakufa kwa choyo, choko ww.

roho mbaya na ubaguzi unakutafuna mpaka unasambaza fitna, dhahiri ww ni mtu mwenye wivu
 
kamwe huwezi kufananisha kunguru na njiwa kitabia...huyu yuda wa chama ni mzalendo wa kifikra mwenye matendo na hulka za kifisadi
 
Al mudir gombesugu nafurahi kukuona jukwaani!
Na umekuja na misumari barabara!
Teh teh teh teh!
Hawa jamaa lazima wakuchukie! Manake unawafahamu kama mwalimu wao!

Amma kuhusu huyu msukule Nicholas huyu kinachomsumbua ni zile mbege za bure!
Yeye huwa atumwatumwa sigara na vitu vidogodogo pale branch ya cdm kiboriloni!
In return wanampa yake mabaki ya mbege!
Sasa ukimuona umri wake miaka 25 lkn anaonekana sura zake km ana miaka 60!

Teh teh teh.

Maulana Dr Kahtaan,

Kwi! Kwi! Kwi!

Kuna dume-jike/bisexual moja humu linaitwa Asha Mohamed aka Matola,nasikia ni Bwabwa la kutupwana linamshobokea Mkuu THE BIG SHOW!? Teh! Teh! Teeh!

Mimi nastaajabu mno,kwanini Matola anafanza hayo majambo ya ubwabwa,wakti yeye maisha yake yoote anashinda humu mitandaoni kwa niaba ya Chadema kuchafua wenzao kisiasa na kuendeleza Islamophobia...kama walivyoamrishwa na Padri Mzee Slaa!?

Nyinyi Nyakageni,Mwakaboko,Mzito Kabwela na Mungi...kwanini mnamwacha msukule mwenzenu Matola anajigeuza Bwabwa mitandaoni na kuadhirika hapa mjini,mpaka kufikia anajiita ati Asha Bint Mohamed!? Teh! Teh! Teh! Teeh!

Au pesa za ruzuku zoote zinaishia Tengeru na nyinyi misukule mnatumika kwa mapenzi tu ya "Roho Mtakatifu" tu!? Dah!...jamaa zetu acheni kutumiwa na matapeli/mafisadi waliomo ndani ya Chadema! Kumbukeni yakuwa nyinyi ndo "wasomi",na hilo Taifa na families zenu zinawategema jamani!?

Hivi vitendo vya hao makamanda aka misukule nilowataja,vya kuendeleza ile Islamophobia yao kwa niaba ya Chadema,wajua inawatia simanzi kubwa mno Mkuu CHAMVIGA na Mkuu Boko Haram maskini!? Dah! Chadema bana! Teh! Teh!

Ahsanta.
 
Eti we Nicholas eti ni kweli kuwa una asili ya kihutu au??
Kiswahili chako kinachanganya mno!

Au ni zile mbege za bure kutoka CDM!!?

Unajua andiko limekataza ulevi??
Ngoja nikupe andiko huenda ukaacha!!

Uzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)

Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraim na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde-linalostawi la hao walioshindwa na divai! (Isaya 28:1).

Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu huchanganya vileo, wampao haki-mwenye uovu ili wapewe ijara na kumwondolea mwenye haki haki yake. (Isaya 5;22-23).

Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo, wakishinda-sanahata usiku wa manane mpaka-mvinyo imewaka kama moto ndani-yao!
Na kinubi, na zeze na matari na filimbi, na mvinyo zote ziko katika-karamu zao lakini hawaangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake. (Isaya 5:11-12

Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huuma kama-nyoka; Huchoma kama fila. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwakama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).

Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi.(Isaya 56:10-12).

Teh teh teh ! Yaani haya maandiko utafkiri yanakujua tabia zako!

Cc maulana gombesugu
Hilo andiko kumbe unaliamini....?Then unahitaji mkana shetani.Hilo andiko halina aya za ramli.
 
Maulana Dr Kahtaan,

Huyo kenge alcoholic Nicholas... Mchaga asiesoma kutoka Kishimundu,yaani anaishi mjini kwa kueneza Islamophobia tu na kuchafuana kisiasa...huyo na yule ndondosa Yericko Nyerere hawa ni mafisi wakisiasa na ni wachovu wa maisha tu!

Wao wamelianzisha,na sisi tutakwenda nao sambamba mpaka kipenga cha mwisho hapo 2015! Teh! Teh!

Dr Kahtaan,nakuaminia Maulana endelea kumpigilia "misumari ya kichwa" huyo janga la Taifa Nicholas na kikosi chao cha ukabila!

Ahsanta.

Mnavyotoa matusi..ni ngumu kumuani km unachoamini kimetoka kwa Mungu..sishangai km wapinga Kristu...
 
we haini utakufa kwa choyo, choko ww.

roho mbaya na ubaguzi unakutafuna mpaka unasambaza fitna, dhahiri ww ni mtu mwenye wivu

haha..ulitaka akupe bure bure tuu..kweli njaa za waswhili mbaya.Unakomaa kwa uchoyo wa mwingine?Kwani lazima akupe,wewe kwanini usimpe wewe.Au unataka sema yeye tuu ndie anahitaji thawabu na si wewe?Mtakufa kwa imani mbaya.
 
Matusi meeengi ya nini??
Kwani huwezi kuandika bila kuniita mwehu??
Hizi hasira zitakuponza. Nimekuonya mara nyingi lkn naona unazidi kukosa adabu.

Unasema mungu hana race!
Sasa hiyo picha ya MZUNGU inafanya nini makanisani??

Kwenye ule msalaba kuna sanamu ya mzungu!! Nani alikwambueni Kuwa Yesu alikuwa MZUNGU??

Viongozi wenu wakuu wote duniani WAZUNGU!

Mpaka mahubiri yenu kwenye tv hayakolei MPAKA MSEME KIZUNGU halafu mtafsiri kwa kiswahili!!
Hebu fungua AGAPE TV uone vituko!

Halafu eti vyoo vya makanisani pia vya KIZUNGU??

Just wonder! Thats all.

matusi unaonirushia humu kila mahali hata ktk thread ambayo sijachangia..hujawahi jiuliza.Huna tofauti na wapalestina..akisikia kichwa kinauma anasema sababu ni wayahudi..anatukana na kufanya shambulizi lolote.Na wewe popote ukijisikia unatukana na kumention id yangu.

Hii ni typical beahriour ya watu walioshiwa na kuwa waovu..wasioweza ishi bila enemies.Hata watoto wao hurith hiyo loose life.

Kwani ukiona mtu mwenye pua ,nywele na macho km yale ni lazima awe mzungu.Wale wahispania wangapi wana damu ya cross na waarabu?Au ni waarabu wangapi wana cross na east europe?By the way Picture ya Yesu iliyopatikana ktk mkusanyiko wa Damu ktk Sanda aliyofunikwa ndio iliyoleta pictiure km iliyopo..inaitwa the THE SHRINE OF TURIN...

Hayo ya kuongeza kizungu ni personal na life style za watu tuu...MBONA WEWE NA KUPENDA KOTE UARABU UKU UKICHUKIWA WAZUNGU MNATONGOZANA KIZUNGU....

Ni wehu tuu unakusumbua na unafiki wa kifikra uliokulea..?
 
Kama una akili timamu na unajua system za nchi zinavyofanya kazi, waraka wa zito ni uhaini, uhuni na mapinduzi amabyao si ya kidemokrasia. Kwa weledi wa mambo ni mzandiki na mfitini hana nia njema na Demokrasia ya nchi. Siku zote mtu mwadilifu akiona pale alipo hapamfai au anashindwa kutekelza yale anyoamini, kwa heshima hung'atuka na kutafuta njia nyingine. Huwezi leo wewe peke yako kati ya mamilioni ya watu ndoto zako binafsi zikafisha ndoto za wengi. hakuna mantiki ya kutetea mbegu ya ufitini. CCM ndio sasa wapo na hekaheka za kuhakikisha mgogoro wa zito haumaliziki vyema ili biasara zao wafanyazo ziapte kuendelea kutamalaki. CCM wamekosa utu na kupoteza uaminifu waliopewa ndio maana siku zote hushabikia zaidi mambo yale yawaletaayo hofu ya kuondoka madarakani. Lakini watambue kuwa watu tunamjua ZIto sio leo toka miaka mingi. Kwa wale walisoma UDSM wanajua fitna yake, anajua kugeuza upepo tena sana,.
 
matusi unaonirushia humu kila mahali hata ktk thread ambayo sijachangia..hujawahi jiuliza.Huna tofauti na wapalestina..akisikia kichwa kinauma anasema sababu ni wayahudi..anatukana na kufanya shambulizi lolote.Na wewe popote ukijisikia unatukana na kumention id yangu.

Hii ni typical beahriour ya watu walioshiwa na kuwa waovu..wasioweza ishi bila enemies.Hata watoto wao hurith hiyo loose life.

Kwani ukiona mtu mwenye pua ,nywele na macho km yale ni lazima awe mzungu.Wale wahispania wangapi wana damu ya cross na waarabu?Au ni waarabu wangapi wana cross na east europe?By the way Picture ya Yesu iliyopatikana ktk mkusanyiko wa Damu ktk Sanda aliyofunikwa ndio iliyoleta pictiure km iliyopo..inaitwa the THE SHRINE OF TURIN...

Hayo ya kuongeza kizungu ni personal na life style za watu tuu...MBONA WEWE NA KUPENDA KOTE UARABU UKU UKICHUKIWA WAZUNGU MNATONGOZANA KIZUNGU....

Ni wehu tuu unakusumbua na unafiki wa kifikra uliokulea..?

Teh teh teh teh!
We kwa kuniita mimi mwehu kunakufanya wewe kuwa mwehu zaidi!

Manake unabishana na mwehu!
Back to the thread!

Wewe ustake kukataa hapa kuwa huabudu mzungu!
Kwani hao wa Spanish ni wahindi??

Nyie uzungu na kizungu mmerithishwa na hao waliokuleteeni huo ugalatia huko afrika!

Wakawapa na picha ya kuabudu na kuwatengenezea sababu ya hio picha kuwekwa!! Ohh sanda ohhh my foot!

Na wewe kwa elimu ya kata ulionayo UNAKUBALI KABISA KUWA mungu wako NI MZUNGU!

Hao wazungu walichapa viboko babu zako, wakawauza kama mafungu ya nyanya! Leo bado UNAWAABUDU na kusema eti "ni LIFE STYLE YA MTU!!"

Huna hata aibu kukataa!!?
Yaani Makanisa na wahubiri wote kuupenda uzungu na Kuhubiri kwa style za wazungu KOOTE HUKO unakuita PERSONAL LIFE! ?

Unafiki na vileo vitakupeleka pabaya!

Ogopa Mungu aliyekuumba akakupa afya ambayo unaitumia kumkana na kumsingizia uongo!!
Ukifa na hali hii Utakuwa UMEKUFA KAFIRI!

Na baada ya kufa makazi ya kafiri ni MOTO WA JAHANNAMU!

Bado nafasi unayo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom