William Emmanuel
Member
- Nov 26, 2013
- 12
- 2
Inawezekana uzi huu umeandika usiku wakati kuna giza rohoni mwako. Ni kichekesho kumfananisha Zitto na Martin Luther King, lakini kama haitoshi umetoa tusi kwa wakristo wote kumfananisha Zitto na Yesu. Nina mashaka kama wewe ni Mkristo.