Mh. Zitto na Martin Luther King

Mh. Zitto na Martin Luther King

Status
Not open for further replies.
Martin Luther King alikuwa motivated na Imani yake ya Dini...ambayo by far ni tofauti na ya Malcolm X ambaye hakuwa na dream ila alikuwa na maamuzi ya kutumia nguvu.Je Zitto ataweza share imani ya Luther King ili wafanane?
Ha ha ha ha ha ha ha Labda Osama bin Laden
 
Hili ni tusi kwa ukristo in general and ulutheri in particular! Zitto ni shetani wa kulinganisha na mashetani kama Osama
 
Last edited by a moderator:
Sina kumbukumbu ya CDM kubagua watu kulingana na unakotoka, sina kumbukumbu za zzk kumwona akifanya kazi na wenzake kwenye chama, kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010, sina kumbukumbu za zzk kumpigia au kumnadi mgombea wa chama chake, huyu zzk ni naibu katibu mkuu wa CDM, kwanini kila hua karibu zaidi na viongozi wa ccm kuliko hta CDM, uwepo wake pale ofisini ni adimu sana ukilinganisha hata na John Mnyika. Sorry, hivi Mnyika nae ni mtu wa kaskazini?

Kwa maneno hayo, nani mbaguzi hapo kwa wenzie? MArtini Luther king, alichukiwa sana na watawala, zzk ni kipenzi kikubwa sana kwa watawala, hili sijui likaaje?
 
Mh ur the man of the people kelele za chura ni bure ng'ombe anaendelea kukata kiu
 
huyu huyu Zitto amesababisha kulewa kwa sheria mpya ya madini
huyu huyu Zitto kasababisha mkajua mkataba wa buswagi umesainiwa hotelin
huyu huyu Zitto kasababisha mmejua vyama vya siasa mahesabu yao ynafichwa
huyu huyu Zitto kasababisha watanzania wamejua wakubwa wamefivha pesa uzunguni.
ubarikiwe
 
Ungeandika ubaguzi ungeeleweka moja kwa moja sio kujificha na kuwa mnafiki. Martin alikufa fighting for justice. Zitto hafanani na huyo legendary aiseeee.
 
Ungeandika ubaguzi ungeeleweka moja kwa moja sio kujificha na kuwa mnafiki. Martin alikufa fighting for justice. Zitto hafanani na huyo legendary aiseeee.
msg sent and delivered
 
Hili ni tusi kwa ukristo in general and ulutheri in particular! Zitto ni shetani wa kulinganisha na mashetani kama Osama

We osama ulikuchukulia mke au??
Mbona huskii raha mpaka umtaje! Au ktk wale popobawa kuna mmoja aliyekutembelea anafanana na osama!
Teh teh teh !
Halafu mi naona kina Ben Saanane wameshakutimua CDM! MANAKE ushaanza kukashifu hata wale waliokuwa wanakulipa posho!
 
Last edited by a moderator:
Sina kumbukumbu ya CDM kubagua watu kulingana na unakotoka, sina kumbukumbu za zzk kumwona akifanya kazi na wenzake kwenye chama, kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010, sina kumbukumbu za zzk kumpigia au kumnadi mgombea wa chama chake, huyu zzk ni naibu katibu mkuu wa CDM, kwanini kila hua karibu zaidi na viongozi wa ccm kuliko hta CDM, uwepo wake pale ofisini ni adimu sana ukilinganisha hata na John Mnyika. Sorry, hivi Mnyika nae ni mtu wa kaskazini?

Kwa maneno hayo, nani mbaguzi hapo kwa wenzie? MArtini Luther king, alichukiwa sana na watawala, zzk ni kipenzi kikubwa sana kwa watawala, hili sijui likaaje?

Martin Luther King hakuwa mnafiki na alijizuia kuwa mbaguzi km au zaidi ya wale aliokuwa akipambana nao kuondoa ubaguzi.

Zitto siku zote ana chuki sana tena mbaya kiasi cha kuonekana majukwaani kwa watu hawa:

-Mnyika.
-Lema.
-Nassari.
-SUGU.
-Msigwa.

Wengine ni Viongozi wa juu wote tena wengine anawachukia kwa dini na Ukanda waliotoka ikiwa na Kabila lao.
 
go vice versa
 
ukisoma historia utaliona jina moja Martin luther king ALIAMINI katika yafuatayo katika muktadha wa TANZANIA

kuwa na haki sawa baina ya watanzania wote either uwe unatoka kaskazini mwa nchi au kusini au kule kigoma
mtu asipewe heshima au asivunjiwe heshima kutokana na kabila lake hata kama wewe mchaga au wewe ni muha mpewe haki sawa
mtu asibaguliwe kwa sababu ya dini yake au kwakuwa dini yake si sawa na yako hivyo unambagua
vilevile msimbague mtu kwakuwa anamawazo tofauti na wewe hiyo ni haki yake

KWANN MH ZITO

1.ANAFANANA na MARTIN LUTHER KING kwani anapigania maslahi ya watanzania wote bila kujali ukanda,udini,ukabila,na kila aina ya ubaguzi.
2. MARTIN LUTHER alikuwa na dream kuwa hata mmarekani mweusi aweza kuwa raisi au kuwa mwenyekiti wa republican au democrats kwan kinachoangaliwa ni uwezo na si mtu na ndoto zake zilifanikiwa kuwa kweli pale OBAMA ALIPOKUA RAIS MWEUSI AMERIKA
3. NAAMINI kuwa MH ZITO ANADREAM ZA MARTIN LUTHER KING INGAWA KAMA WAMAREKANI WEUPE KWAKUWA WALIKUA WABAGUZI HAWAKUAMINI ILA WAMAREKANI WEUSI WALIAMINI HIYO NI KWELI NA DREAM IKAWA KWELI
MY TAKE
KAMA WAMAREKANI WEUPE KWA SABABU YA UBAGUZI WAO WALIAMINI MTU MWEUSI HAWEZI KUWA KIONGOZI SAME APPLY KUWA MH ZITO KWA KUWA HATOKI UKANDA FULANI HAWEZI KUFIKIA HIS DREAM LAKINI SHIKA HILI MH ZITO NA MARTIN LUTHER IDEAS RESEMBLE MSICHANGAE JIWE MLILOLIKATA LIKAWA NDIO JIWE KUU LA PEMBENI

Luther hukuwa msaliti fisadi na tapeli wa kisiasa
 
Hili ni tusi kwa ukristo in general and ulutheri in particular! Zitto ni shetani wa kulinganisha na mashetani kama Osama

SHida ya Zitto hajapata credible icon wa human rights and with great Hopes and dreams ktk ulimwengu huo...so kujipaka hiyo perfume ndipo kujilinganisha na hao watu wakubwa hadi wazungu wakawapa siku yao ktk kalenda yao.

I wonder km Martin Luther King aliwahi waambia watu kuwa ataua hadi panya.Ktk Ukristu hakuna uganga,wa vitabu au maagano.wote ni ushetani.
 
Kijana usiseme kuwa UCHAWI KTK BIBLIA HAKUNA!

Andiko hili hapa:-

2 Kings 21:6-

And he burned his son as an offering and used fortune-telling and omens and dealt with mediums and with necromancers. He did much evil in the sight of the-Lord, provoking him to anger.

Exodus 22:18

“You shall not permit a sorceress to live.

Revelation 21:8-

But as for the cowardly, the faithless, the detestable, as for murderers, the sexually immoral, sorcerers, idolaters, and all liars, their portion will be in the lake that burns with fire and sulfur, which is the second death.”

Kwa hio BIBLIA INATAMBUA UCHAWI NA WATU WAKE WALIUFANYA SANA.

Na anachikifanya ZITO ni KURUDIA YALE YALIIFANYWA KABLA.

Tuseme Haleluyah!
 
You guy, can't you stop your propelling back! King Martin Luther unamfananisha na Zitto?
 
Last edited by a moderator:
Zitto is generous in Politics
Zitto is generous in Politics
Zitto is generous in Politics
Zitto is generous in Politics
 
utofauti wa zitto na martin luther.
1.zitto ni mnafiki wakati martin luther alikuwa msema ukweli na mtekelezaji.
2.zito ni mpenda madaraka wakati martin luther alikuwa hana mawazo ya upuuzi kama huo alichojua yeye ni kutete haki.
3.zitto ni mchumia tumbo wakati martin luther alikuwa anataka watu wote washibe kama wengine.
hz ni tofaut chache acha kulinganishaga watu labda umlinganishe zitto kabwe na baba yako mzazi.-------- ww
 
Kijana usiseme kuwa UCHAWI KTK BIBLIA HAKUNA!

Andiko hili hapa:-

2 Kings 21:6-

And he burned his son as an offering and used fortune-telling and omens and dealt with mediums and with necromancers. He did much evil in the sight of the-Lord, provoking him to anger.

Exodus 22:18

“You shall not permit a sorceress to live.

Revelation 21:8-

But as for the cowardly, the faithless, the detestable, as for murderers, the sexually immoral, sorcerers, idolaters, and all liars, their portion will be in the lake that burns with fire and sulfur, which is the second death.”

Kwa hio BIBLIA INATAMBUA UCHAWI NA WATU WAKE WALIUFANYA SANA.

Na anachikifanya ZITO ni KURUDIA YALE YALIIFANYWA KABLA.

Tuseme Haleluyah!

Haha..hapo kwenye Red kunapingana na ulichokiweka hapa....Zitto anarudia yale amabyo yamekuwa uovu mbele ya Bwana Mkuu wa mabwana(Lord) si Bwana wa mke ni Bwana yaani MKUU....

Nadhani si mbaya tukiendelea laani hizi tabia zake za kichawi kwa vile hata mbele ya Muumba ni uovu.Sijui km watamkubali kurudisha hivyo viapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom