Mh. Zitto na Martin Luther King

Mh. Zitto na Martin Luther King

Status
Not open for further replies.
Acha kumdhalilisha Martin luther king... Nenda katafakari kwanza ndiyo uje hapa jf
. MARTIN LUTHER KING UNAMJUA AMA UMEHADITHIWA? Kajipange...

angekua ni mgonga VIROBA ungeweka like kwa kuwa ni kambi yako ya waropokaji
 
Kwani yeye anabihashara ipi inamuingizia hela mpaka utajiri kama si wizi wa mali za umma yaani mali yangu na wewe. Ila watanzania huwa hamjambo kwa kuwatetea wezi kisa kwenye kampeni ulipewa wali au kangha. Bado tuna njia ndefu kuelekea kwenye kutoka kama tunaona tuna wivu kwa kuwaweka wazi wahujumu uchumi wetu.
yeye ni naibu katibu mkuu kuna fungu, yeye ni naibu kiongoz kambi ya upinzan, yy ni mwenyekiti PAC, YY NI MBUNGE WEWE JE???????? ACHA WIVU DOGO
 
yani inahitaji kwenda shule ili ujue mh zito anabaguliwA KASOME RIPOTI YA SIRI UTAONA DK SLAA KAGONGA LIKE ALAFU ANSEMA ZITO NI KIONGOZI WETU HY NI CONSPIRACY THEORY

Una uhakika huo? ndio Maana Nape Nnauye anataka chadema kifutwe sababu ya kutofanya uchaguzi?
 
Waambie CDM wanaobaguana kwa itikadi, ukabila, ukanda na koo!

Mi sitaki kusikia Habari za CDM maana kila ck wao wanaogombana na matusi mitandaoni! Am fed up with CDM
 
Leo nimemsikia DW mchana anajikanyanga na FEDHA za uswis. huyu jamaa ni mnafiki kupindukia. Kipindi kile walipomuingiza kwenye kamati ya madi alitaka hata kuwasaliti watu wa kigoma na kwenda kugombea ubunge jimbo la Geita ili aendelee kuwalinda mafisadi wa madini vizuri ndo huyo unamfananisha martin kichekeso.

Martin hakuwahi kujilimbikizia mali kisa anafanya kazi za jamii haka kajamaa nasikia kanamiliki gali la mamilioni ya shillingi kantumia hilo kwenda kuwatetea watanzania ambao hata baiskeli ya miti kwao ni tatizo. Upuuzi.

Ukwli ni kwamba Tanzania hatuna mwanasiasa hata mmoja ambaye ni Mzalendo wote wachumia tumbo. Tokea huyo jamaa alipokuja na ngonjera zake hizo za uswis siku hizi naye kawa John Mtembezi. Kodi yetu hiyo

Kuweni makini na haya mambo

wewe kipi ulichofanya cha maana katika jamii>? si bora yeye amefanya hata hayo machache? goo goo zzk wewe ni Martin wa bongo
 
ungemfananisha zitto na simbilisi kwa tabia ningejua unauwezo mzuri wa kufanya komparizon. ufanano kama wa tabia za mbwa kuzifanana za binadamu.
 
Inasikitisha nakuhuzunisha kuona mkidhalilisha jina na yale aliyoacha Martin Luther kwa kufananishwa na zzk asiynkua na msimamo.
 
acha matusi kumbuka kila goti litapigwa na kila neno litahesabiwa

Unaleta ngonjera kwenye mambo ya msingi? Cdm haienda kama unavyotaka wewe isipokuwa wanachama wake wanavyotaka.kiufupi tu kama umetumwa kamwambie aliyekutuma kuwa manachama wa cdm hawana imani naye,wanataka kamanda wa kweli anayeuchukia ufisadi na mafisadi na asiye na urafiki nao hata kidogo.pia mtu asiye mnafiki anayeweza kuwatetea na kuwapigania makamanda na si mtu aliyeshindwa tu kulaani MAUAJI YA MAKAMANDA SOWETO,KULAANI MIPANGO MIOVU YA KUBAMBIKIA WATU UGAIDI..Kumbuka star tv wakati mwigulu anaikashifu cdm alionekana kufurahia kwa sababu cdm si chama chake hivyo hakimuhusu.sasa unategemea ataaminiwa na nani? poleni sana magamba ,kwetu kumjua adui ni nusu ya ushindi.
 
wewe kipi ulichofanya cha maana katika jamii>? si bora yeye amefanya hata hayo machache? goo goo zzk wewe ni Martin wa bongo

Ana tofauti gani na mr dhaifu? wote watalii tu.MARTIN LUTHER ALIKUWA MTU MWENYE MSIMAMO USIOTILIWA SHAKA HUWEZI KUMLINGANISHA NA HUYU WAKO UNAYEMPAMBA KIUDWANZI DWANZI,unadhani kwa huu weehu wako unamsaidia huyo msaliti?
 
Martin Luther King alikuwa motivated na Imani yake ya Dini...ambayo by far ni tofauti na ya Malcolm X ambaye hakuwa na dream ila alikuwa na maamuzi ya kutumia nguvu.Je Zitto ataweza share imani ya Luther King ili wafanane?
 
kamuulize dk kama ni kweli au c kweli that is fact

wewe ndie umeweka hizi poroja humu ndani as if you do have some info to share… Ushukuru tu nchi hii haina sherpa sababu ya serikali inaongozwa kivyake vyake… nchi nyingine wangekuita utoe huo ushahidi ulionao la sivyo unalipa mamilioni ya dollars kama hauna ndio hapo sasa unakaribishwa MIREMBE...

Kama una sema kuna ubaguzi toa ushahidi wako; kama unasema kuna uonevu wa aina fulani toa ushahidi sio maneno ya kwenye kahawa… hayo yanajenga CHUKI bila sababu na haki yoyote; Viongozi wameondoka vyama kadhaa ka mantiki zao wenyewe?

Be careful of what you are wishing for… it might be the other way round...

Kama ni hoja zao ziamini pale tu wanapozitoa pale maukwaani; usijaribu kuwafuata majumbani mwao ukawa kama mtumwa wa uncompromised philosophy...

Wanachoandaa Jukwaani ni kwaajili ya wewe kuelewa itikadi zake na chama chake na sio; kutaka kuelewa wanaishije humo ndani ya hicho chama...
 
Ana tofauti gani na mr dhaifu? wote watalii tu.MARTIN LUTHER ALIKUWA MTU MWENYE MSIMAMO USIOTILIWA SHAKA HUWEZI KUMLINGANISHA NA HUYU WAKO UNAYEMPAMBA KIUDWANZI DWANZI,unadhani kwa huu weehu wako unamsaidia huyo msaliti?
acha kuishi kwa hisia hisia kama uko kitandani mda wote na mwanamke. msaliti msaliti, kamsaliti nani? kama kapewa hela ni kodi yetu amechukua ulitaka mafisadi tu ndio waiile?
ila kwa aliyofanya kwa upande wake yametosha na wengije pia wafanye tuone
 
ukisoma historia utaliona jina moja Martin luther king ALIAMINI katika yafuatayo katika muktadha wa TANZANIA

kuwa na haki sawa baina ya watanzania wote either uwe unatoka kaskazini mwa nchi au kusini au kule kigoma
mtu asipewe heshima au asivunjiwe heshima kutokana na kabila lake hata kama wewe mchaga au wewe ni muha mpewe haki sawa
mtu asibaguliwe kwa sababu ya dini yake au kwakuwa dini yake si sawa na yako hivyo unambagua
vilevile msimbague mtu kwakuwa anamawazo tofauti na wewe hiyo ni haki yake

KWANN MH ZITO

1.ANAFANANA na MARTIN LUTHER KING kwani anapigania maslahi ya watanzania wote bila kujali ukanda,udini,ukabila,na kila aina ya ubaguzi.
2. MARTIN LUTHER alikuwa na dream kuwa hata mmarekani mweusi aweza kuwa raisi au kuwa mwenyekiti wa republican au democrats kwan kinachoangaliwa ni uwezo na si mtu na ndoto zake zilifanikiwa kuwa kweli pale OBAMA ALIPOKUA RAIS MWEUSI AMERIKA
3. NAAMINI kuwa MH ZITO ANADREAM ZA MARTIN LUTHER KING INGAWA KAMA WAMAREKANI WEUPE KWAKUWA WALIKUA WABAGUZI HAWAKUAMINI ILA WAMAREKANI WEUSI WALIAMINI HIYO NI KWELI NA DREAM IKAWA KWELI
MY TAKE
KAMA WAMAREKANI WEUPE KWA SABABU YA UBAGUZI WAO WALIAMINI MTU MWEUSI HAWEZI KUWA KIONGOZI SAME APPLY KUWA MH ZITO KWA KUWA HATOKI UKANDA FULANI HAWEZI KUFIKIA HIS DREAM LAKINI SHIKA HILI MH ZITO NA MARTIN LUTHER IDEAS RESEMBLE MSICHANGAE JIWE MLILOLIKATA LIKAWA NDIO JIWE KUU LA PEMBENI

We umeshakula bangi au!
Teh teh teh teh!
That makes kikwete a white supremacy leader!
Teh teh teh teh!
Nyie bangi vuteni lakini msichanganye na pombe za kienyeji! Mtakuja kuua bila kujua!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom